Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usimshtue huyo! akili ya mwanamke fupi sana ukishalala nae siku mbili ukamvua ch*p basi ushakua mume.. Huyu Cocomanga si demu kama hao mwisho wa siku tunapiga chiniTeh teh teh! Kweli we bwege! Unafikiri mpaka inapofika ndoa kuitwa halali n kujifungia na demu ndani au kula denda hadharani basi imeshakuwa halali! Kwa taarifa yako Huyo Dojo hajaoa so wewe endelea kupumbazika na ndoa za instagram
Hahahahaha! Kweli kabisa mkuuusimshtue huyo! akili ya mwanamke fupi sana ukishalala nae siku mbili ukamvua ch*p basi ushakua mume.. Huyu Cocomanga si demu kama hao mwisho wa siku tunapiga chini
Hivi unajua ww ni jingaKumbe hakualikwa walipobarikiwa kindoa mjini Dar.. duh!!! Na picha ya gauni jekundu alivaa Zari na party usiku huo tuliziona jamani. Kweli WCB wamekuwa wasiri sana siku hizi.. safi sana.
Angenyamaza kimya kwa historia yake ilivyo na mwanawe.. ameonyesha kuvalishwa zile nguo ndio anadakia dakia eeeeeh.. atulie kimya yeye hahusishwi na ya kindani ya familia hiyo.
Hivi unajua ww ni jinga
Wanavyopenda sifa wale wangeachaje kutuhabarisha, yakitandani tu wanatujuza ndo iwe ndoa hakunaga iyo wote baby mamaz.Kumbe hakualikwa walipobarikiwa kindoa mjini Dar.. duh!!! Na picha ya gauni jekundu alivaa Zari na party usiku huo tuliziona jamani. Kweli WCB wamekuwa wasiri sana siku hizi.. safi sana.
Angenyamaza kimya kwa historia yake ilivyo na mwanawe.. ameonyesha kuvalishwa zile nguo ndio anadakia dakia eeeeeh.. atulie kimya yeye hahusishwi na ya kindani ya familia hiyo.
Na mwenyewe alisema hajaoa bado mdogo wamuacheeeTeh teh teh! Kweli we bwege! Unafikiri mpaka inapofika ndoa kuitwa halali n kujifungia na demu ndani au kula denda hadharani basi imeshakuwa halali! Kwa taarifa yako Huyo Dojo hajaoa so wewe endelea kupumbazika na ndoa za instagram
Njoo nikuzalisheMzee anazekee vibaya.huyuuu
Kumbe hakualikwa walipobarikiwa kindoa mjini Dar.. duh!!! Na picha ya gauni jekundu alivaa Zari na party usiku huo tuliziona jamani. Kweli WCB wamekuwa wasiri sana siku hizi.. safi sana.
Angenyamaza kimya kwa historia yake ilivyo na mwanawe.. ameonyesha kuvalishwa zile nguo ndio anadakia dakia eeeeeh.. atulie kimya yeye hahusishwi na ya kindani ya familia hiyo.
kwani.mzee.ABDUL ndy baba wa diamond?Mbona yuko sahihi tu! Onyesha wapi kakosea
Mzee anajua mwanaeBaba Diamond ana akili sana
'Damu hufata mshipa.Mzee anajua mwanae
Hahahaaaaa..........hilo nalo nenoEeeeeeeeeh
Lia lia liaaaaaaaaa
Udaku wa mtandaoni eti unaniita hivyo eeeeeeeh
Ona unaandika maneno ambayo sijayaamdika.. kilazwa haswaaaa wewe duh
Milembe kunakuhiusu.. utafikiri kuandika humu haya ya wasanii tunagombania kombe ni kuburudika jua hivyo. wewe mdaku bebi hujui kuongelea ya celebs.. unaumiaaaaa hapo juu ya maisha yao na kunitukana.. aiseeeeee
Jipige vibao vya usoni ulie kabisa
Umejaa wivu na bado unaakili za kibebi hijui kitu na hujui kufikiri nje ya boksi..