Baba Diamond aomba mwanae amkatie angalau bima ya afya

Eehe yani hata mzee wake alikuwa busy na Kazi tena malori hata miezi mitatu upo njiani tu unasafirisha mzigoo...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] So its a same story hakuna tofauti...
Sikulaumu laumu najua hujui, kwa dereva wa mantank ya mafuta inawachukua wiki mbili ila kama Kuna matatizo inaweza ikawachukua mwezi, ila hawa wa mizigo inawachukua mwezi kama wakiwahi, ila sometimes foleni inakuwaga ndefu inachukua hata miezi mitatu, alafu malori ya mizigo mengi ni spana mkononi ila ya mafuta mengi huwaga yale mapya au yale ambaye yanapewa service mara kwa mara na yakifika mpakani hayakai foleni, kama yale ya mizigo sababu yamebeba kimiminika ambazo kinaweza kikalipuka.
 
Tatizo mnakalili, Diamond sasa yupo katika peak na ndio maana hata ratiba yake ipo busy na mziki sio kazi ambayo itakuweka busy miaka yote, Kuna kipindi mziki utamkataa ataangalia na atakuwa yupo karibu na familia yake, huku akisimamia biashara zake.
Una uhakika gani kipindi mziki ukimkataa watoto wake watamuelewa Tena ukute wameshalishwa sumu na mama zao na ushahidi wa mitandaoni upo.
Mfano mdogo tu juzi diamond kakacha kwenda kwenye birthday ya mwanae lakini kaenda kwenye birthday party ya jackline Wolper siku hiyo hiyo moja , Apo mama akiamua kumuonyesha hayo mavideo unadhani dogo kichwa hakita pata Moto?
Wamama wakiamua usipate na mshua huchomoki
 
Kama yasemayo ni kweli basi akifanyacho Diamond si sawa...
HATA humu kuna wazee wamezingua kupita maelezo...mbona watu wanapotezea tu
 
Sikulaumu laumu najua hujui, kwa dereva wa mantank ya mafuta inawachukua wiki mbili ila kama Kuna matatizo inaweza ikawachukua mwezi, ila hawa wa mizigo inawachukua mwezi kama wakiwahi, ila sometimes foleni inakuwaga ndefu inachukua hata miezi mitatu, alafu malori ya mizigo mengi ni spana mkononi ila ya mafuta mengi huwaga yale mapya au yale ambaye yanapewa service mara kwa mara na yakifika mpakani hayakai foleni, kama yale ya mizigo sababu yamebeba kimiminika ambazo kinaweza kikalipuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya sawa mkuu...!! Ninachosema nature ya kazi inafanana..Too bad diamond anaamua afanye show au asifanye ila baba yake alikuwa hana uwezo wa kuamua apeleke au asipeleke mzigo...! Diamond hafanyi show mwezi mzimaaa huo ndo ukweli... ishu ni umbali pia haishi na familia yake so tatzo lile lilee tuu...
 
Eehe yani hata mzee wake alikuwa busy na Kazi tena malori hata miezi mitatu upo njiani tu unasafirisha mzigoo...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] So its a same story hakuna tofauti...
Trust me hi movie inajirudia kwa Diamond mwenyewe labda azinduke
Baba diamond malori yalimponza akajifanya yupo bize na kazi malezi kamuachia mama
 
Una uhakika gani kipindi mziki ukimkataa watoto wake watamuelewa Tena ukute wameshalishwa sumu na mama zao na ushahidi wa mitandaoni upo.
Mfano mdogo tu juzi diamond kakacha kwenda kwenye birthday ya mwanae lakini kaenda kwenye birthday party ya jackline Wolper siku hiyo hiyo moja , Apo mama akiamua kumuonyesha hayo mavideo unadhani dogo kichwa hakita pata Moto?
Wamama wakiamua usipate na mshua huchomoki
Maza akiamua aisee mzee mbona huna chakoo...
 
Una uhakika gani kipindi mziki ukimkataa watoto wake watamuelewa Tena ukute wameshalishwa sumu na mama zao na ushahidi wa mitandaoni upo.
Mfano mdogo tu juzi diamond kakacha kwenda kwenye birthday ya mwanae lakini kaenda kwenye birthday party ya jackline Wolper siku hiyo hiyo moja , Apo mama akiamua kumuonyesha hayo mavideo unadhani dogo kichwa hakita pata Moto?
Wamama wakiamua usipate na mshua huchomoki
Ila kaenda huko lakini hujui kesho yake alikuwa kwenye show ambayo yy anaisimamia kama msimamizi mkuu. Wamama wakiaamua si unaenda ustawi wa jamii wakupangie siku za kukaa na mwanao au ww utasusa ndio utaona fursa ya kufanya mambo yako.
 
Trust me hi movie inajirudia kwa Diamond mwenyewe labda azinduke
Baba diamond malori yalimponza akajifanya yupo bize na kazi malezi kamuachia mama
Yaah mkuu its a matter of time tu...!! Kuna magonjwa pia unaweza kua na pesa lakini upo kitandani wanaotakiwa kukujali ni watoto zako... Kuna point inafika Hela sio kitu tena Ila FAMILY ndo kila kitu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya sawa mkuu...!! Ninachosema nature ya kazi inafanana..Too bad diamond anaamua afanye show au asifanye ila baba yake alikuwa hana uwezo wa kuamua apeleke au asipeleke mzigo...! Diamond hafanyi show mwezi mzimaaa huo ndo ukweli... ishu ni umbali pia haishi na familia yake so tatzo lile lilee tuu...
Lakini huduma anatoa. Alafu Diamond sio kwamba atakuwa busy au namba moja milele Kuna kipindi mziki utamkataa na atakuwa karibu na watoto wake zaidi. Juma nature yule enzi zake alikuwa busy, sasa hivi yupo analea mtoto wake.
 
Mama akiamua Kuna ustawi wa jamii au kama wewe mama akiamua ndio unasusa unaenda kufanya mambo yako na mtoto una msusia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume ukaanze kugombana ustawi wa jamii kuwa umlee mtoto??? Akati unafanya kama sehemu ya wajibu wako mzee...
 
Lakini huduma anatoa. Alafu Diamond sio kwamba atakuwa busy au namba moja milele Kuna kipindi mziki utamkataa na atakuwa karibu na watoto wake zaidi. Juma nature yule enzi zake alikuwa busy, sasa hivi yupo analea mtoto wake.
Eeehee sasa ndo huo muda akirudi kwa watoto mama zao waoneshe ushirikiano na pia wakati huu ambapo yupo mbali wasiwape sumu za maneno watoto.. Hela za matumizi hzo risiti zitamsaidia siku akipelekwa ustawi wa jamiii so kama kweli anatuma bhasi ni vizuri lakini akizira sababu wanawake zake wanajikuta wanaweza kulea na wala hawana shida na msaada wake ndo itakula kwakee.. Wanawake wanakeraa mkuu yani balaa unaweza ziraa jumlaa kabisa.. Mfano mzuri faiza ally na sugu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume ukaanze kugombana ustawi wa jamii kuwa umlee mtoto??? Akati unafanya kama sehemu ya wajibu wako mzee...
Mbona akina Future na Cris Brown wamefanya hivyo au wewe mwanamke akiamua na wewe unasusa kulea mtoto. Alafu kususa sio tabia ya mwanaume. Alafu ustawi huendi kugombana bali unawaelezea hali halisi au mnazani ustawi wa jamii wapo kwa ajili ya wanawake.
 
Ila kaenda huko lakini hujui kesho yake alikuwa kwenye show ambayo yy anaisimamia kama msimamizi mkuu. Wamama wakiaamua si unaenda ustawi wa jamii wakupangie siku za kukaa na mwanao au ww utasusa ndio utaona fursa ya kufanya mambo yako.
Mkuu hapa tunaongea na kuelewana Kama watu wazima ndo maana unaona inawezekana watoto watamuelewa Diamond kutokana labda na ubize wa kazi yake ila trust me
Mama akikaa na mtoto wake kashapata akili Apo mfano Zari kakaa na mwanae anamsimulia kipindi anakuwa jinsi alivyokuwa anamsumbua kwenye malezi labda kuumwa usiku yeye pekee yake anaangaika baba yupo bize na kazi huku machozi yanamtoka unadhani dogo atamuelewa mshua?
Dogo anataona Dingi alikuwa sio.
 
Eeehee sasa ndo huo muda akirudi kwa watoto mama zao waoneshe ushirikiano na pia wakati huu ambapo yupo mbali wasiwape sumu za maneno watoto.. Hela za matumizi hzo risiti zitamsaidia siku akipelekwa ustawi wa jamiii so kama kweli anatuma bhasi ni vizuri lakini akizira sababu wanawake zake wanajikuta wanaweza kulea na wala hawana shida na msaada wake ndo itakula kwakee.. Wanawake wanakeraa mkuu yani balaa unaweza ziraa jumlaa kabisa.. Mfano mzuri faiza ally na sugu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama mwanamke akiwa na uwezo wa kulea mtoto haikuzuii kukaa na mtoto wako, alafu watoto kama hujui wakiwa wadogo wanatambiana baba zao kwa cha msingi kama mzazi hakikisha kwa siku hizo zako chache unakaa na mwanao na kumuonesha upendo. Kaka mimi kwenye maisha yangu hata mwanamke awe chizi vipi lakini piga ua lazima nimpiganie mwanangu, sina ujinga wakususa hasa upande wa watoto, kama utasusa ni ww.
 
Mbona akina Future na Cris Brown wamefanya hivyo au wewe mwanamke akiamua na wewe unasusa kulea mtoto. Alafu kususa sio tabia ya mwanaume. Alafu ustawi huendi kugombana bali unawaelezea hali halisi au mnazani ustawi wa jamii wapo kwa ajili ya wanawake.
[emoji23][emoji23][emoji23]Haya mkuu lakini jua kuna wanawake wajeuriii mpka unaweza ziraaa kabisa apambane na hali yakee maana jeuri sio ya nchi hii...
 
Eeehee sasa ndo huo muda akirudi kwa watoto mama zao waoneshe ushirikiano na pia wakati huu ambapo yupo mbali wasiwape sumu za maneno watoto.. Hela za matumizi hzo risiti zitamsaidia siku akipelekwa ustawi wa jamiii so kama kweli anatuma bhasi ni vizuri lakini akizira sababu wanawake zake wanajikuta wanaweza kulea na wala hawana shida na msaada wake ndo itakula kwakee.. Wanawake wanakeraa mkuu yani balaa unaweza ziraa jumlaa kabisa.. Mfano mzuri faiza ally na sugu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama mwanamke akiwa na uwezo wa kulea mtoto haikuzuii kukaa na mtoto wako, alafu watoto kama hujui wakiwa wadogo wanatambiana baba zao kwa cha msingi kama mzazi hakikisha kwa siku hizo zako chache unakaa na mwanao na kumuonesha upendo. Kaka mimi kwenye maisha yangu hata mwanamke awe chizi vipi lakini piga ua lazima nimpiganie mwanangu, sina ujinga wakususa hasa upande wa watoto, kama utasusa ni ww.
 
Hata kama mwanamke akiwa na uwezo wa kulea mtoto haikuzuii kukaa na mtoto wako, alafu watoto kama hujui wakiwa wadogo wanatambiana baba zao kwa cha msingi kama mzazi hakikisha kwa siku hizo zako chache unakaa na mwanao na kumuonesha upendo. Kaka mimi kwenye maisha yangu hata mwanamke awe chizi vipi lakini piga ua lazima nimpiganie mwanangu, sina ujinga wakususa hasa upande wa watoto, kama utasusa ni ww.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu acha tu wanawake hawaa...hayajakukuta baba! utanyoosha mikono tu manaa inakuwa kama mateso sasa...
 
Miaka 29 haikufanyi uwe na majibu ya shombo
Kama una hoja ongea bila tusi
Halafu nitake radhi
Huyo mzee hatujui waliachana kwa kosa gani hatuwezi kuamua sisi
Ni mama na huyo mzee ndio wanalijua zaidi
Yameisha
Ukweli kabisa maana Mama mzazi naye ni Binadamu huwezijua alimuumiza kwa namna gani huyo Mumewe.

Afu ikiwa husamehewa hata mtu aliyeua kwa kutokukusudia, Baba yake Diamond ni nani hasa hata ashindwe kusamehewa na huyo mwanaye Diamond?

Bihind the scene, kuna masharti aliyopewa huyo Diamond maana si kila aliyefanikiwa ametumia njia halali kupata maendeleo yake.
 
Back
Top Bottom