Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu povu limemtoka humu bila kujua sababu ya ugomvi waoUkweli kabisa maana Mama mzazi naye ni Binadamu huwezijua alimuumiza kwa namna gani huyo Mumewe.
Afu ikiwa husamehewa hata mtu aliyeua kwa kutokukusudia, Baba yake Diamond ni nani hasa hata ashindwe kusamehewa na huyo mwanaye Diamond?
Bihind the scene, kuna masharti aliyopewa huyo Diamond maana si kila aliyefanikiwa ametumia njia halali kupata maendeleo yake.
Minipungua ndio mkuuWw naye akili ka piliton hivi yeye ndo kawaita au wenyewe ndo wamemfata kumuhoji au ukitaka asifanye mahojiano. Punguani wa head ww.
Mpumbavu hawezi kubishana kwa hoja, bali mwenye hekima hushusha hoja za kimantiki bila ya kutokwa na povu kama wewe.Wewe zwazwa nani kakuambia kuna mtu kakataliwa kusamehewa ???
Umetoka kula gambe unadandia train kwa mbele.
Hiyo huwa ni kama laana inatembea, wewe unafikiri kina tiffa watakuja kumjali mond kwa anayoyafnya sasa? Lazima mama zao wawajaze maneno maana wana machungu na jamaaChibu ni mtu mzima sasa...najua kama mtoto wa kiume lazima amuheshimu na kumsikiliz Mama....Lakini.....lakini bado ana maamuzi yake kama mtoto wa kiume...
Unajua maji hufuata mkondo.....Chibu atambue pia watoto wake wanaweza kuja kumtenda haya anayotenda yy maana hatuwezi jua "wataambiwa nini" na mama zao huko mbeleni.......what goes around comes around
Ikifikia hapo atakua amechelewa..! Watoto anza nao wakiwa wadogoTatizo mnakalili, Diamond sasa yupo katika peak na ndio maana hata ratiba yake ipo busy na mziki sio kazi ambayo itakuweka busy miaka yote, Kuna kipindi mziki utamkataa ataangalia na atakuwa yupo karibu na familia yake, huku akisimamia biashara zake.
Rafiki, kama unaweza kusaidia watu baki huko mitaani utashindwaje kumsaidia huyo aliyeweka mbegu iliyokufanya uione dunia?Sasa rafiki kama mtu aliweka mbegu kwa starehe zake kisha akasepa na hakufanya matunzo yoyote yale huyo mtu anastahili msaada wa nini sasa?
Hivi kumbe alionja hata mapenzi ya baba yake, sasa kwanini anamfanyia hivyo? Kuna watu walitelekezwa wakingali mimba lakini wakikua wanawatafuta baba zao na kuishi nao vizuri yeye anashindwa vipi?Baba Diamond,Diamond na mama yake enzi hizo.View attachment 969261
Ukiisoma mada,paragraph ya 3 mstari wa mwisho kabisa,mzee Abdul anasema,Hivi kumbe alionja hata mapenzi ya baba yake, sasa kwanini anamfanyia hivyo? Kuna watu walitelekezwa wakingali mimba lakini wakikua wanawatafuta baba zao na kuishi nao vizuri yeye anashindwa vipi?
Yeye atajisikiaje endapo Zari atawalisha sumu wanae kuwa baba yao (Mond) kawatelekeza?🤔
Umeitoa wapi hiyo habari kua mzee aliikimbia familia kisa michepuko? kuna prove yeyote ya hiyo claim yako? tujuze mkuu huenda wewe unajua zaidi.Mimi nafurahi namna mzee Huyu anavyolia lia kwenye media, hili ni funzo tosha kuwa Tusikimbie majukumu yetu, Mzee michepuko imemfanya akumbie familia leo mtoto katoboa anataka awe treated well kwa kipi alichofanya!? Nasema ivi wacha avune tu alichopanda kwa mtu aliepitia mateso ya mshua ali escape Familia kisa Wanawake au tungi anaweza ku view kwa mapana na wala hawezi kumlaumu Chibu ila kwa wale mliokuwa na baba zenu mwanzo mwisho na wakajua majukumu yao ndio mnao ona ni kitu simple tu kusamehe, ata diamond leo akisema amsamehe moyo wake haupo kwake tena, mzee apambane tu kiume hayo ndio mavuno
Jambo la kujiuliza ni kwanini uwa hawangángánii wakina Queen Darleen? Au huyo hawezi msaidia hata kidogo? Mzee zile bata za Shamte zinamchanganya