Baba Diamond aomba mwanae amkatie angalau bima ya afya

Mkuu mtoto wa Baba: hta kama alikutelekeza mzazi wako lkn ukafanikiwa usilipize ubaya kwa baya, mtoto wa kaka yangu mimi alitelekezwa akiwa na miezi6 na mama yake, kwa bahati mbaya Baba yake nae baada ya miezi miwili akafa, ilibidi nisimamie malezi yake, saiv hivi naandika haya kijana kapiga hela nyingi sana kwenye madini, Mama yake kaja tumesuluhisha yameisha, mama saiv amejengewa nyumba nzuri2 na Noah kanunuliwa, Duniani hatuishi kwa visasi na vinyongo
Simaanishi tuishi kwa visasi mkuu...ila kila mtu akishaumizwa ana level yake ya kumuonea huruma aliyemtesa..sisi hatujui diamond alitesekea kiasi gani na mama yake wakati huyu mzee aliwatelekeza...na mtu ambaye hajawahi kutelekezwa hivyo hawez jua uchungu wake....so mond ana uamuz wa kusamehe au kutosamehe maana yeye ndiye aliyefeel uchungu

Ila wazee wa hivi wanatakiwa wanyooshwe tu maana kuna watu kazi yao kuweka tu mimba mengine yote wanamwachia mwanamke....sasa wajifunze pamoja na huyu mzee.
 
Hebu acheni kuongelea mambo ambayo hamyajui undani wake. Wewe Kama baba usipomjali mtoto wakati ukiwa mdogo usitegemee yeye akujali ukiwa mzee.
Siku zote mtu huvuna alichokipanda. Na hii iwe funzo kwa wazazi wote wazwazwa..hasa wababa
I hope wewe unajua undani wake ndiyo maana umekata wengine. By the way kwenye maisha nimeshaona kina mama wengine ambao wanapoachika hufanya juhudi zote kuteka mawazo ya watoto na kujenga chuki kati ya watoto na baba yao hata kama baba siyo mbaya kivile. Ukisoma jinsi hii familia inavyoendesha maisha yao utagundua huyo mama naye ni tatizo. Kwa mila na utamaduni wetu siyo rahisi ukute mama anafanya vituko anavyofanya huyu mama hadharani huku ana watoto wakubwa na wajukuu. Ingekuwa Ulaya ningeelewa. Mama alimteka mtoto kimawazo tangu akiwa mdogo na chuki ya mwanae kwa baba imepandikizwa naye.
 
Simaanishi tuishi kwa visasi mkuu...ila kila mtu akishaumizwa ana level yake ya kumuonea huruma aliyemtesa..sisi hatujui diamond alitesekea kiasi gani na mama yake wakati huyu mzee aliwatelekeza...na mtu ambaye hajawahi kutelekezwa hivyo hawez jua uchungu wake....so mond ana uamuz wa kusamehe au kutosamehe maana yeye ndiye aliyefeel uchungu

Ila wazee wa hivi wanatakiwa wanyooshwe tu maana kuna watu kazi yao kuweka tu mimba mengine yote wanamwachia mwanamke....sasa wajifunze pamoja na huyu mzee.
Mzee apambane na hali yake ukute hata yeye hakuwajali Wazazi wake.
 
Yaani me pia nimewaza hivi ...hivi mond angekuwa fukara tu huyu mzee angesema diamond mwanangu kila Mara? Kama anataka mtoto amtunze na yeye angemtunza tangu kipindi hicho..hawa wazee wa hivi waantia hasira sana
Angekuwa fukara absolutely asingesema ni mwanae. Angekaa naye mbali kama moto wa mabua. All in all siku zote mafanikio yasiyotegemewa yakibisha hodi kwenye familia fukara drama kama hizi ni kitu cha kawaida. Unajua fedha na umaarufu navyo ni hatari kubwa vinapoangukia kwenye ubongo usio na uwezo.
 
I hope wewe unajua undani wake ndiyo maana umekata wengine. By the way kwenye maisha nimeshaona kina mama wengine ambao wanapoachika hufanya juhudi zote kuteka mawazo ya watoto na kujenga chuki kati ya watoto na baba yao hata kama baba siyo mbaya kivile. Ukisoma jinsi hii familia inavyoendesha maisha yao utagundua huyo mama naye ni tatizo. Kwa mila na utamaduni wetu siyo rahisi ukute mama anafanya vituko anavyofanya huyu mama hadharani huku ana watoto wakubwa na wajukuu. Ingekuwa Ulaya ningeelewa. Mama alimteka mtoto kimawazo tangu akiwa mdogo na chuki ya mwanae kwa baba imepandikizwa naye.
Kituko gani amefanya mama Chibu? Hayo ni malipo yake ya starehe alizo fanya akiwa kijana bila kujiwekea akiba uzeeni yaani mzee ana micheni shingoni kama mbwa ni wa kumuonea huruma kweli.
 
Inawezekana sikatai, lkn pia ni lazima baba alikosea sehemu..kitu ambacho wengi hatujui tunajudge tu.
Huyo mzee aache kulalamika maana haisaidii, vyovyote vile ilivyo lkn Sasa anavuna alichopanda., Tunaona kwenye jamii inayotuzunguka jinsi ambavyo wababa wanasababisha mateso kwa familia zao na mwisho wa siku wanarudi kunyenyekea wakati tayari alishaumiza mioyo ya mke na watoto.
Mungu anisamehe lkn simuonei huruma. Ana watoto wengine why Kila Mara ni Diamond tu? Anachosha
 
Kituko gani amefanya mama Chibu? Hayo ni malipo yake ya starehe alizo fanya akiwa kijana bila kujiwekea akiba uzeeni yaani mzee ana micheni shingoni kama mbwa ni wa kumuonea huruma kweli.
Ha haa jamani naomba picha
 
Cha ajabu lawama anapewa mama.
Huyu mzee apambane tu hali yake...anavuna alichopanda
...halafu hata kama mama diamond alimwambia mwanaye madudu ya baba yake n sahihi maana ukweli n ule ule kwamba aliwatelekeza ..hao wanaosema sijui mama amempoison diamond kiakili kuhusu baba yake ..n kwamba hajampoison amemwambia kweli kwamba mzee wako alizingua...hapo n juu ya mond kuamua amsamehe au lah
 
IMG_20181216_162641.jpg
 
Back
Top Bottom