Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Simaanishi tuishi kwa visasi mkuu...ila kila mtu akishaumizwa ana level yake ya kumuonea huruma aliyemtesa..sisi hatujui diamond alitesekea kiasi gani na mama yake wakati huyu mzee aliwatelekeza...na mtu ambaye hajawahi kutelekezwa hivyo hawez jua uchungu wake....so mond ana uamuz wa kusamehe au kutosamehe maana yeye ndiye aliyefeel uchunguMkuu mtoto wa Baba: hta kama alikutelekeza mzazi wako lkn ukafanikiwa usilipize ubaya kwa baya, mtoto wa kaka yangu mimi alitelekezwa akiwa na miezi6 na mama yake, kwa bahati mbaya Baba yake nae baada ya miezi miwili akafa, ilibidi nisimamie malezi yake, saiv hivi naandika haya kijana kapiga hela nyingi sana kwenye madini, Mama yake kaja tumesuluhisha yameisha, mama saiv amejengewa nyumba nzuri2 na Noah kanunuliwa, Duniani hatuishi kwa visasi na vinyongo
Ila wazee wa hivi wanatakiwa wanyooshwe tu maana kuna watu kazi yao kuweka tu mimba mengine yote wanamwachia mwanamke....sasa wajifunze pamoja na huyu mzee.