Baba Diamond aomba mwanae amkatie angalau bima ya afya

Baba Diamond aomba mwanae amkatie angalau bima ya afya

Namshauri huyu Baba arudu tu Allah, afanye toba wala hata asikimbilie hizo pesa za kazi ya haramu.
 
Ukweli kabisa maana Mama mzazi naye ni Binadamu huwezijua alimuumiza kwa namna gani huyo Mumewe.

Afu ikiwa husamehewa hata mtu aliyeua kwa kutokukusudia, Baba yake Diamond ni nani hasa hata ashindwe kusamehewa na huyo mwanaye Diamond?

Bihind the scene, kuna masharti aliyopewa huyo Diamond maana si kila aliyefanikiwa ametumia njia halali kupata maendeleo yake.
Kuna mtu povu limemtoka humu bila kujua sababu ya ugomvi wao
Je kama alimfumania na mtoto akiyaona?
Maana baba anasema hata mtoto anayajua lakini hakusema ni nini
Na wakati mwingi watoto huegemea upande wa mama hata kama kafanya mabaya kiasi gani.
Baba anamuadhibu mke wake kwa kosa kubwa alilolifanya na mtoto anaona baba akimpiga au kumtukana mke wake lakini mtoto ataona mama anaonewa tu.

Dhana ni mbaya lakini labda tatizo ni hilo
 
Wanawake ni watu wabaya sana yaani mkimwagana tu wao hupandikiza chuki na visasi kwa watoto ilh baba aonekane hana maana
 
Baba Diamond,Diamond na mama yake enzi hizo.
Screenshot_2018-12-15-21-48-24.jpg
 
Chibu ni mtu mzima sasa...najua kama mtoto wa kiume lazima amuheshimu na kumsikiliz Mama....Lakini.....lakini bado ana maamuzi yake kama mtoto wa kiume...
Unajua maji hufuata mkondo.....Chibu atambue pia watoto wake wanaweza kuja kumtenda haya anayotenda yy maana hatuwezi jua "wataambiwa nini" na mama zao huko mbeleni.......what goes around comes around
Hiyo huwa ni kama laana inatembea, wewe unafikiri kina tiffa watakuja kumjali mond kwa anayoyafnya sasa? Lazima mama zao wawajaze maneno maana wana machungu na jamaa
 
Tatizo mnakalili, Diamond sasa yupo katika peak na ndio maana hata ratiba yake ipo busy na mziki sio kazi ambayo itakuweka busy miaka yote, Kuna kipindi mziki utamkataa ataangalia na atakuwa yupo karibu na familia yake, huku akisimamia biashara zake.
Ikifikia hapo atakua amechelewa..! Watoto anza nao wakiwa wadogo
 
Sasa rafiki kama mtu aliweka mbegu kwa starehe zake kisha akasepa na hakufanya matunzo yoyote yale huyo mtu anastahili msaada wa nini sasa?
Rafiki, kama unaweza kusaidia watu baki huko mitaani utashindwaje kumsaidia huyo aliyeweka mbegu iliyokufanya uione dunia?

Kumtendea wema baba yake kutampunguzia nini zaidi ya kumwongezea baraka mara dufu? Nashauri asilipize ubaya kwa ubaya bali wema kwa ubaya naye atabarikiwa sana.
 
Baba Diamond,Diamond na mama yake enzi hizo.View attachment 969261
Hivi kumbe alionja hata mapenzi ya baba yake, sasa kwanini anamfanyia hivyo? Kuna watu walitelekezwa wakingali mimba lakini wakikua wanawatafuta baba zao na kuishi nao vizuri yeye anashindwa vipi?

Yeye atajisikiaje endapo Zari atawalisha sumu wanae kuwa baba yao (Mond) kawatelekeza?🤔
 
Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake... Tutabinuka huku na kule kumlaumu Diamond au baba yake bila kufahamu chanzo nini?

Wacha wafu wazikane na wafu wenzao....
 
Hivi kumbe alionja hata mapenzi ya baba yake, sasa kwanini anamfanyia hivyo? Kuna watu walitelekezwa wakingali mimba lakini wakikua wanawatafuta baba zao na kuishi nao vizuri yeye anashindwa vipi?

Yeye atajisikiaje endapo Zari atawalisha sumu wanae kuwa baba yao (Mond) kawatelekeza?🤔
Ukiisoma mada,paragraph ya 3 mstari wa mwisho kabisa,mzee Abdul anasema,
"Mimi niliachana na mama yake wakati yeye akiwa kidato cha kwanza" hapo "yeye" inamuwakilisha Diamond.
 
Mimi nafurahi namna mzee Huyu anavyolia lia kwenye media, hili ni funzo tosha kuwa Tusikimbie majukumu yetu, Mzee michepuko imemfanya akumbie familia leo mtoto katoboa anataka awe treated well kwa kipi alichofanya!? Nasema ivi wacha avune tu alichopanda kwa mtu aliepitia mateso ya mshua ali escape Familia kisa Wanawake au tungi anaweza ku view kwa mapana na wala hawezi kumlaumu Chibu ila kwa wale mliokuwa na baba zenu mwanzo mwisho na wakajua majukumu yao ndio mnao ona ni kitu simple tu kusamehe, ata diamond leo akisema amsamehe moyo wake haupo kwake tena, mzee apambane tu kiume hayo ndio mavuno
 
Umeitoa wapi hiyo habari kua mzee aliikimbia familia kisa michepuko? kuna prove yeyote ya hiyo claim yako? tujuze mkuu huenda wewe unajua zaidi.
 
Hakuna binadamu mkamilifu hata yeye pia sio mkamilifu,japokuwa maamuzi ni yake ila akumbuke dunia hii tunapita. What goes around comes around

Wanawake ni mama zetu,dada zetu ,Wake zetu, akina delila wetu nk.Akiwa kama mwanaume akumbuke hata yy alifikishwa mahakamani na kiburudisho chake kwa kutokutoa matumizi , akumbuke yy huyo alimtuhumu mzazi mwezie kuwa ni mwanga,
Swali langu hv Mtoto wa hamisa akitusua atampotezea Baba ake???? Maana ya mbele yamefichwa hatuyajui.

Akumbuke kuna upendo wa wakupendao hautakusaidia ila kuna chuki ya wakuchukiao itakayokusaidia, Mzee alimchukia ila chuki ile ilimvusha.
Platinum msamehe Mzee
 
Queen Darleen mwenyewe anamuita diamond baba unategemea ndo atamsaodia mzee?
Kifupi Ni kwamba siku mama diamond akiamua kumwambia diamond amsamehe baba yake atamsamehe.
Moyo utalaini bila nguvu Ni simple tu mama kuplay party yake
Jambo la kujiuliza ni kwanini uwa hawangángánii wakina Queen Darleen? Au huyo hawezi msaidia hata kidogo? Mzee zile bata za Shamte zinamchanganya
 
Back
Top Bottom