joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sikulaumu laumu najua hujui, kwa dereva wa mantank ya mafuta inawachukua wiki mbili ila kama Kuna matatizo inaweza ikawachukua mwezi, ila hawa wa mizigo inawachukua mwezi kama wakiwahi, ila sometimes foleni inakuwaga ndefu inachukua hata miezi mitatu, alafu malori ya mizigo mengi ni spana mkononi ila ya mafuta mengi huwaga yale mapya au yale ambaye yanapewa service mara kwa mara na yakifika mpakani hayakai foleni, kama yale ya mizigo sababu yamebeba kimiminika ambazo kinaweza kikalipuka.Eehe yani hata mzee wake alikuwa busy na Kazi tena malori hata miezi mitatu upo njiani tu unasafirisha mzigoo...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] So its a same story hakuna tofauti...