Baba Diamond aomba mwanae amkatie angalau bima ya afya

Ninyi mliolelewa na baba na mama zenu kama makinda ya ndege "MNATOA USHAURI WA KIPUMBAVU SANA na MNAONEKANA MNA AKILI NA MILA NYEUSI KABISA"

Yaani WEWE UZAE kulea ALEE MWINGINE ??!
Ukikuwa utayajua
Halafu uwe na heshima kwani hapo tunatoa ushauri tu
Matusi hayakufanyi umeshinda mjadala
 
Kwenye hii hbri ya Diamond na Baba yake lzma kuna Behind the scenes, sbbu Diamond ni mtoto wa kiume kwa nini umchukie mzazi wako kiasi hiki!, lbda kuna Black magic akimjali2 na yeye umaarufu kwaheri na kua Omba Omba kama alivyo uyo mzazi wake now,__ NAWAZA2 lkn kama anasikia maneno ya mama yake ndio iwe sbbu! Diamond atakua bdo hana akili na hta washauri wake nitawaona wa hovyo
 
Ninyi mliolelewa na baba na mama zenu kama makinda ya ndege "MNATOA USHAURI WA KIPUMBAVU SANA na MNAONEKANA MNA AKILI NA MILA NYEUSI KABISA"

Yaani WEWE UZAE kulea ALEE MWINGINE ??!
Kwaiyo Kama kalea mwingine ndo ampotezee? Kwani hao wengine anawapa misaada wote wanapenda
Dini inasema kabla ya kuzihusia nafsi zingine iusie Kwanza nafsi yako
 
Hili ni fundisho pia kwa vijana. Katika chovya chovya yenu msije mkawa mabingwa wa kukataa mimba.

Mtoto akija kulelewa na single mother baadaye akaja akawa Obama wa Tanzania msiende kujipendekeza na kulialia kwenye vyombo vya habari!
 
Yaani kuzaa azae yeye kulea aachie wengine ??

Huyu mzee akaziwe liwe fundisho kwa wazee wajinga wajinga kama hawa.
Kabisa.. Maana ukiwaonea huruma wanazoea hawa....kwan alivyokuwa anamtelekeza hakujua kama n mwanaye atamsaidia uzeeni? Hovyo
 
Hapa hakuna cha black magic wala nn....yaan kiufupi diamond anakumbuka alivyoteseka wakati mzee wake aliwaacha...huwezi jua aliumia kiasi gani kila mtu ana level yake ya huruma
 
Mkuu umeongea point hapo si kwamba mond lazima amsamehe baba yake hapana tunaangalia ubinadamu tu kuna muda usitahie mema toka kwa mwanadamu tenda wema kisha nenda zako
Binafsi sina tatizo lolote na "baba" ila tu sioni kama kuna ulazima wowote wa kuwa na ukaribu naye kwa sasa ( 28 yrs ).

Kama tulivyokuwa tunaaishi zamani bila ukaribu wowote, tuendelee kuishi hivyo hivyo. Hatuna ugomvi wowote ila tu kila mtu anaishi huru na ana ukaribu na watu wake wa tangu zamani.
 
Hapa hakuna cha black magic wala nn....yaan kiufupi diamond anakumbuka alivyoteseka wakati mzee wake aliwaacha...huwezi jua aliumia kiasi gani kila mtu ana level yake ya huruma
Mkuu mtoto wa Baba: hta kama alikutelekeza mzazi wako lkn ukafanikiwa usilipize ubaya kwa baya, mtoto wa kaka yangu mimi alitelekezwa akiwa na miezi6 na mama yake, kwa bahati mbaya Baba yake nae baada ya miezi miwili akafa, ilibidi nisimamie malezi yake, saiv hivi naandika haya kijana kapiga hela nyingi sana kwenye madini, Mama yake kaja tumesuluhisha yameisha, mama saiv amejengewa nyumba nzuri2 na Noah kanunuliwa, Duniani hatuishi kwa visasi na vinyongo
 
Tena inabidi diamomd aanzishe kampeni ya kuwanyoosha hao "sperm donor" wanaodonate sperm na kukimbia halafu wanajifanya kumtambua mtoto akishatoboa..

Imagine diamond angekuwa mvuta bangi kitaa mzee angejifanya kumjua.
Kama alimchukulia poa utotoni kwa nini anajileta sasa?
 
Kwa hiyo mkuu na wewe ukifanikiwa mzee asikujuee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala hata sihitaji ukaribu naye.

Hata namba yake sina.

Juzi mdogo wangu wa kike kanipigia simu eti "baba" amemwomba namba yangu, amempa lakini kaogopa kunipigia.

Hatukuwa na ukaribu tangu zamani, sioni kama tunahitaji kuwa na ukaribu sasa. Ila hatuna ugomvi.
 
Akumbuke alichokifanya sio kulia lia tu ye alijiona kidume, usikate magugu kabla ngano haijakomaa
 
Mzee anataka ukaribu na mwanae zile za baba na mwana kitu ambacho nadhani anaona hakifanyika
Yaani mzee anataka ahamie madale kabisa iwe pika pakua, jambo ambalo ni gumu.

Tena vizee vya hivi ndivyo vilivyoshangilia kauli ya JIWE ya "FYATUEEEEEEEEEEENI"
 
Duu watu mna mioyo migumu
 
Nina miaka 29, unataka nikue niwe na miaka 52 kama huyo mzee ?

Kama una lea, hilo ndilo SULUHISHO.
Miaka 29 haikufanyi uwe na majibu ya shombo
Kama una hoja ongea bila tusi
Halafu nitake radhi
Huyo mzee hatujui waliachana kwa kosa gani hatuwezi kuamua sisi
Ni mama na huyo mzee ndio wanalijua zaidi
Yameisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…