Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Kwani kumsamehe tu ni lazima uwe na ukaribu naye au umsaidie ?Za kikristu zinatupa haya mafundisho ya kusamehe saba mara sabini, SIJUI DINI ZINGINE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kumsamehe tu ni lazima uwe na ukaribu naye au umsaidie ?Za kikristu zinatupa haya mafundisho ya kusamehe saba mara sabini, SIJUI DINI ZINGINE
Ukikuwa utayajuaNinyi mliolelewa na baba na mama zenu kama makinda ya ndege "MNATOA USHAURI WA KIPUMBAVU SANA na MNAONEKANA MNA AKILI NA MILA NYEUSI KABISA"
Yaani WEWE UZAE kulea ALEE MWINGINE ??!
Kwaiyo Kama kalea mwingine ndo ampotezee? Kwani hao wengine anawapa misaada wote wanapendaNinyi mliolelewa na baba na mama zenu kama makinda ya ndege "MNATOA USHAURI WA KIPUMBAVU SANA na MNAONEKANA MNA AKILI NA MILA NYEUSI KABISA"
Yaani WEWE UZAE kulea ALEE MWINGINE ??!
Msiba utawekwa leaders watakula nyama na wali na kile ki Mario cha mamaake Diamond kitasimamia kamatiHivi akifa hawatakwenda msibani?
Kabisa.. Maana ukiwaonea huruma wanazoea hawa....kwan alivyokuwa anamtelekeza hakujua kama n mwanaye atamsaidia uzeeni? HovyoYaani kuzaa azae yeye kulea aachie wengine ??
Huyu mzee akaziwe liwe fundisho kwa wazee wajinga wajinga kama hawa.
Na ww tumechoka sema unalolijuaEndeleeni na ujinga wenu
Hapa hakuna cha black magic wala nn....yaan kiufupi diamond anakumbuka alivyoteseka wakati mzee wake aliwaacha...huwezi jua aliumia kiasi gani kila mtu ana level yake ya hurumaKwenye hii hbri ya Diamond na Baba yake lzma kuna Behind the scenes, sbbu Diamond ni mtoto wa kiume kwa nini umchukie mzazi wako kiasi hiki!, lbda kuna Black magic akimjali2 na yeye umaarufu kwaheri na kua Omba Omba kama alivyo uyo mzazi wake now,__ NAWAZA2 lkn kama anasikia maneno ya mama yake ndio iwe sbbu! Diamond atakua bdo hana akili na hta washauri wake nitawaona wa hovyo
Binafsi sina tatizo lolote na "baba" ila tu sioni kama kuna ulazima wowote wa kuwa na ukaribu naye kwa sasa ( 28 yrs ).Mkuu umeongea point hapo si kwamba mond lazima amsamehe baba yake hapana tunaangalia ubinadamu tu kuna muda usitahie mema toka kwa mwanadamu tenda wema kisha nenda zako
Mkuu mtoto wa Baba: hta kama alikutelekeza mzazi wako lkn ukafanikiwa usilipize ubaya kwa baya, mtoto wa kaka yangu mimi alitelekezwa akiwa na miezi6 na mama yake, kwa bahati mbaya Baba yake nae baada ya miezi miwili akafa, ilibidi nisimamie malezi yake, saiv hivi naandika haya kijana kapiga hela nyingi sana kwenye madini, Mama yake kaja tumesuluhisha yameisha, mama saiv amejengewa nyumba nzuri2 na Noah kanunuliwa, Duniani hatuishi kwa visasi na vinyongoHapa hakuna cha black magic wala nn....yaan kiufupi diamond anakumbuka alivyoteseka wakati mzee wake aliwaacha...huwezi jua aliumia kiasi gani kila mtu ana level yake ya huruma
Wala hata sihitaji ukaribu naye.Kwa hiyo mkuu na wewe ukifanikiwa mzee asikujuee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kioo cha jamii alipaswa awe mfano mzuri wa kutenda wema kwa ubayaBaba ake alianza kuwa mbaya....!! Diamond anamsikiliza sana mama ake hilo ndo tatzo
Yaani mzee anataka ahamie madale kabisa iwe pika pakua, jambo ambalo ni gumu.Mzee anataka ukaribu na mwanae zile za baba na mwana kitu ambacho nadhani anaona hakifanyika
Bado haitoshi.Unadhani Hadi Sasa bado haijawa fundisho tu?
Nina miaka 29, unataka nikue niwe na miaka 52 kama huyo mzee ?Ukikuwa utayajua
Halafu uwe na heshima kwani hapo tunatoa ushauri tu
Matusi hayakufanyi umeshinda mjadala
Duu watu mna mioyo migumuTena inabidi diamomd aanzishe kampeni ya kuwanyoosha hao "sperm donor" wanaodonate sperm na kukimbia halafu wanajifanya kumtambua mtoto akishatoboa..
Imagine diamond angekuwa mvuta bangi kitaa mzee angejifanya kumjua.
Kama alimchukulia poa utotoni kwa nini anajileta sasa?
Miaka 29 haikufanyi uwe na majibu ya shomboNina miaka 29, unataka nikue niwe na miaka 52 kama huyo mzee ?
Kama una lea, hilo ndilo SULUHISHO.