Baba Diamond aomba mwanae amkatie angalau bima ya afya

Kuna mtu hapo juu amepropose kiba amlipie huyu mzee ili apate Kiki. Nafikiri pia inaweza kumzindua akili dimondo
 
Huenda masharti ya mganga wake ni kumpuuza baba yake. Amsaidie baba afirisike!
 
Kwa Tanzania si ajabu Diamond anafata ushauri wa kishirikina.
 
Huyu mzee ni comedy tu, angalia hilo pozi la picha kwanza.
 
Sasa atumie njia gani ? Kama diamond hua hamtafuti
Alafu soma vizuri umuelewe mzee.yeye anadai mitaani ananyooshewa vidole na kusemwa.kitu hiko kinamuuma
 
Huku mtaani maisha magumu mpaka jamaa ananiuliza: “Hivi luku haina kifurushi cha chuo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi unajua taabu ya kulea mtoto pekee yako ww wakati baba yake yupo? Kama ni mwanae s ampe radhi tuone kama itakamata kama kweli hana makosa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…