"Baba" Diamond awe fundisho tosha kwa wanaume mnaosumbua wanawake wakipata mimba: msikimbie mimba, wala msizingue kama wazazi

"Baba" Diamond awe fundisho tosha kwa wanaume mnaosumbua wanawake wakipata mimba: msikimbie mimba, wala msizingue kama wazazi

Hisha Sorel

Senior Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
192
Reaction score
140
Nashangaa sana ninapoona wanaume wanamtetea yule mzee!

Kwani angekuwa karibu na mwanae (hata kama ni wa kumlea) angeweza kusukumwa na mkeo (mama diamond)? mi sidhani.

Hivi angechukulia majukumu yake serious kama mzazi na kujitolea kwa asilimia 100% Diamond kweli angemsahahu? I doubt it

Wasanii ni kioo cha jamii, hili ni sahii kabisa: kwani hii Tabia ya wanume inajulikana sana (sikiliza mziki wa Q chief unaitwa Baba)

Hili ni tatizo sugu sana kwa wanaume wa Tanzania, tunazalisha alafu tunaanza kusumbua tukuwaacha wake zetu kufanay shughuli za malezi (muangalie Diamond platnumz naye)


ukifika mda wa kuchuma ndo tunaanza kuwajifanya tuwa karibu na watoto wetu.

Hili liwe fundisho na diamond na yeye ajifunze: Ukizalisha kaa karibu na mwanao, mlee, hakikisha anakufahamu wewe kuliko mwanaume yoyote.
Ukizingua utaachwa na utakuwa replaced.

na kabla mjaanza kulalamika kuhusu mchango wa baba kifedha: Malezi ya mtoto ni zaid ya pesa kwani mapenzi kutoka kwa baba ni muhimu!
 
Yaani watu wanunue Mbuzi zenye mimba wafurahi na wewe uoe mwanamke mwenye mimba? Hilo ni kosa kubwa sana ndio maana Biblia inatukataza kuoa mwanamke mwenye mtoto hata asiye na Bikira tu
 
Mimba atie mwingine mzee Abdul abebe majukumu 100%?
 
Hii familia mambo yao ni yakuwaachia wenyewe.. familia nzima wamechafukwa sio mama,watoto,baba n.k
 
Acha ujinga wewe. Unaishije na mwanamke usiku naenda kutomb.wa anarudi asubuhi ? Huoni hilo ni tatizo ? Haya na Bibi Sandra alimtumia Diamond kama njia kwa mzee Abdul, mzee alikuwa na nia ya kuishi na Diamond, ila mama mtu kakomalia kama ilivyo tabia ya wamama wengi, haya mzee akaona isiwe tabu ngoje niwapishe, na ndipo bibi sandra akaanza ingiza sumu kwa mtoto toka kipindi hicho na ndicho pia bibi sandra akaenda mchomekea mzee nyange.. kipindi yupo na Andul na mzee nyange nae alikuwa ana bandua.. huyo mwanamke ni pasua kichwa gawa gawa sanaaa
 
Kumbukeni mimba amepewa Akiwa mke wa mzee abdul. Kwa maelezo ya mama hivyo mondi ndo mwenye maamuzi ya hilo, mzee alichemka cha kufanya aende mahakamani adai jina lake kutumika.
 
Kooonde boy
"Wapo" yako imeleta shida huku,yaani ni dis halafu hit
 
Back
Top Bottom