Hivi alipomtelekeza wakati huo akiwa mtoto, je angekufa kwa kukosa huduma au angekuwa teja au mvuta bangi hiyo risala leo hii angemtolea nani?
Siungi mkono hoja acha baba avune alichopanda iwe funzo kwa wababa wengine sharo baro kama yeye.
Like.
Ningekuwa baba Diamond ningesema hivi:
Sistahili msaada wowote kutoka kwa mwanangu kwa kuwa nilimtelekeza, ila namuombea kila kheri.
Kitendo cha baba diamond kulalamika ktk media kinaonyesha kuwa anazidi kumtelekeza na kumuombea mabaya.