Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Siwezi kuficha furaha yangu kabisa ama hakika nimekomaa lakini daah hapana siwezi kuificha lazima niwachane na kuwaambia ukweli jamani nimepata watoto wawili mapacha mmoja ni wa kiume na mwingine ni wa kike ama hakika ni furaha tupu niliyokuwanayo wakuu
Nimempa majina wa kiume nimemuita haji na mwingine nimeamua kumuita rushayna hawa watoto nitawapenda sana sana wazeee ama hakika kupata watoto kuna raha yake ila nikizaa mapacha tena mmoja nitamuita queen na mwingine nitamuita year.
Nawasilisha