Baba jela miaka 30 kwa kumpondaponda nyeti mtoto wa kufikia

Baba jela miaka 30 kwa kumpondaponda nyeti mtoto wa kufikia

Wanawake ukizaa na mwanaume muachie mtoto wake, usiolewe wewe pamoja na mwanao.

Wanaume tutunze watoto wetu, ni wanaume mtahila wanaoishi bila kujali watoto.

Tutunze watoto, dunia imebadilika.

Tutalaumiana mno.
 
Kuna mambo ukiyasikia mwili unapata maumivu makali sana
 
Kuna majitu hayana hisia kabisa, hivi unaanzaje kwanza!
 
Wanawake ukizaa na mwanaume muachie mtoto wake, usiolewe wewe pamoja na mwanao.

Wanaume tutunze watoto wetu, ni wanaume mtahila wanaoishi bila kujali watoto.

Tutunze watoto, dunia imebadilika.

Tutalaumiana mno.
Unachosema ni sahihi. Binadamu ni mnyama kama walivyo wanyama wengine. Mfumo anaoishi Simba hauna tofauti Sana na binadamu. Simba dume kamwe Huwa halei watoto wa dume mwingine Punde anapochukua utawala
 
Kabisaaa... Kila mtu alee bao lake. Hivi hivi hatutaelewana, wote tutaishia jela.
 
Hizi mahakama za kuwapeleka jela watu wakaendelee kula kodi zetu huku walifanya ushenzi wa hali ya juu. Ziwepo na mahakama za kimila ama kijadi huyo mwamba kama ndo angekutana na wazee wa kimila mbona sasa hivi watu tungekua tumechimba shimo futi kumi.Ndio maana zamani watu walikua waoga kufanya unyama maana ukiangukia mikononi mwa sungusungu wa kijiji ama wazee wa kimila umekwisha.
 
Duhh huyo ni binadamu, ibiilisi au ni kichaa? Unawezaje kufanya yote hayo? Halafu anapewa adhabu ndogo namna hiyo!

Mama naye alizishuhudia dalili mapema kabisa ila kakomaa hapo hadi kauawa na madhila kibao kwa wanae. Umasikini ni mbaya sana, hapo unakuta mtu hana kabisa mahala pa kwenda.
 
Back
Top Bottom