Unachosema ni sahihi. Binadamu ni mnyama kama walivyo wanyama wengine. Mfumo anaoishi Simba hauna tofauti Sana na binadamu. Simba dume kamwe Huwa halei watoto wa dume mwingine Punde anapochukua utawalaWanawake ukizaa na mwanaume muachie mtoto wake, usiolewe wewe pamoja na mwanao.
Wanaume tutunze watoto wetu, ni wanaume mtahila wanaoishi bila kujali watoto.
Tutunze watoto, dunia imebadilika.
Tutalaumiana mno.
Kabisaaa... Kila mtu alee bao lake. Hivi hivi hatutaelewana, wote tutaishia jela.Unachosema ni sahihi. Binadamu ni mnyama kama walivyo wanyama wengine. Mfumo anaoishi Simba hauna tofauti Sana na binadamu. Simba dume kamwe Huwa halei watoto wa dume mwingine Punde anapochukua utawala