GE2025 Baba Levo aangukia pua, Ng’enda aibuka mshindi Kigoma Mjini kwa kura 2,168 dhidi ya 2,080

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Dah baruan Ndo wakuachwa parefu hvy 😂 Huyu jamaa atulie tuu azam ale M zake bila presha
 
Ukiona unazidiwa kura chini ya 100 na aliyekuwa mbunge wa eneo husika, ujue umepita. Namba mbili afurahie tu...maana kajipambania. Ila nasikitika msomi yupo chini inamaana huko wananchi wanachagua vilaza akina levo na kuacha wasomi
 
kwahiyo mkuu ulitegemea mtu apate kura automatic kwa kuwa ni PHD holder ama?
 
kwahiyo ukiwa msomi upite bila ya kupingwa? kuna haja gani ya kufanyika chaguzi?
Wapiga kura wanaojielewa wanajua Cha kufanya, ila kama nao ni wajinga watafanya kuchagua kwa mihemko tu
 
Trump ni Rais ni wamarekani wakati Xi Jinping ni Rais wa China
 
Back
Top Bottom