Baba Levo: Akiwa bungeni ameanza na ujinga wake! Ajirekodi video na kusema Tunatesti mitambo

Baba Levo: Akiwa bungeni ameanza na ujinga wake! Ajirekodi video na kusema Tunatesti mitambo

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Huyu jamaa vituko vyake visivyo vya maana kabisa! Sijuwi atazingumza nini huko Bungeni. Bila shaka anamtambia Bw Zitto Kabwe!

Nasubiri kuona !
===============
Mbunge mteule wa wananchi wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando, ameibua mjadala mitandaoni baada ya kuandika ujumbe mfupi kwenye ukurasa wake wa Instagram akisema “Tunatesti mitambo” akiwa ndani ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo.

 
Hivi bungeni wanaruhusiwa kuchukuana video na picha ndani ya ukumbi wa bunge?

Nitoeni tongo tongo maana sielewi...

Am so confused
 
Ameutukana uchaguzi akaita ni uchafuzi, ameitukana tume matusi ya nguoni na kuhitimisha kuwa Samia siyo rais, hamutambui.

Watu wakamuuliza Zitto kwamba, mbona mlisaini kanuni za maadili huku mkijinasibu kuwa mtapambana na wizi wa kura, kulikoni tena?
 
Huyu jamaa vituko vyake visivyo vya maana kabisa! Sijuwi atazingumza nini huko Bungeni. Bila shaka anamtambia Bw Zitto Kabwe!

Nasubiri kuona !
===============
Mbunge mteule wa wananchi wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando, ameibua mjadala mitandaoni baada ya kuandika ujumbe mfupi kwenye ukurasa wake wa Instagram akisema “Tunatesti mitambo” akiwa ndani ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo.

View attachment 3499913Kigoma poleni sana kwa janga hili huyu atajua hata jinsi ya kutetea haki za wakigoma​
 
Sasa tangu lini mjinga akijitofautisha na ujinga.
Mjinga ni mjinga hata umcheshe na maziwa anabaki vile vile tu
 
Back
Top Bottom