Kipi unataka aguswe nacho zaidi ya maisha yake,hao waliojitakia kufa kwa wizi na uharibifu wa mali za watu?hata kama kuna waliouwawa kwa bahati mbaya bado wahuni na waporaji walipaswa kuwajibishwaUshamba mzigo. Aangakie yasije kumgharimu. Hainekani kabisa kuguswa na kilichotokea Bali anawaza posho tu
Hakuna aliechagua matokeo yalikua yameshapikwa kilichofuata ni kuwekwa mezani hata kungekua na watu wasiopiga wote ila wangetangaza wote mmepiga kura na kujipa ushindi kwa kutumia matokeo hewaZitto hata angeshindana na kimba Wanakigoma Mjini tungechagua kimba!
Good riddance!
Wahuni zaidi ya wanaoteka watu?Kipi unataka aguswe nacho zaidi ya maisha yake,hao waliojitakia kufa kwa wizi na uharibifu wa mali za watu?hata kama kuna waliouwawa kwa bahati mbaya bado wahuni na waporaji walipaswa kuwajibishwa
Zitto hata angeshindana na kimba Wanakigoma Mjini tungechagua kimba!Hakuna aliechagua matokeo yalikua yameshapikwa kilichofuata ni kuwekwa mezani hata kungekua na watu wasiopiga wote ila wangetangaza wote mmepiga kura na kujipa ushindi kwa kutumia matokeo hewa
Ameutukana uchaguzi akaita ni uchafuzi, ameitukana tume matusi ya nguoni na kuhitimisha kuwa Samia siyo rais, hamutambui.
Watu wakamuuliza Zitto kwamba, mbona mlisaini kanuni za maadili huku mkijinasibu kuwa mtapambana na wizi wa kura, kulikoni tena?
Una support watekaji, wauaji na wezi wa kura, watu kama wewe ni wa kuonea huruma tuu lakini naogopa msimamo wako unaweza kukuletea matatizo makubwa sanaKipi unataka aguswe nacho zaidi ya maisha yake,hao waliojitakia kufa kwa wizi na uharibifu wa mali za watu?hata kama kuna waliouwawa kwa bahati mbaya bado wahuni na waporaji walipaswa kuwajibishwa
Anzisha uzi wako juu ya aliyepiga msamba bungeni, usiwapangie watu namna ya kuchangia mada.Kuna watu wanaruka sarakasi bungeni hamuwasemi mnamuona B.Levo tu nyie vipi?