Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kuna watu wanaruka sarakasi bungeni hamuwasemi mnamuona B.Levo tu nyie vipi?Hivi bungeni wanaruhusiwa kuchukuana video na picha ndani ya ukumbi wa bunge?
Nitoeni tongo tongo maana sielewi...
Am so confused
Bunge bado mkuu.Hivi bungeni wanaruhusiwa kuchukuana video na picha ndani ya ukumbi wa bunge?
Nitoeni tongo tongo maana sielewi...
Am so confused
Hivi toka watangaze matokeo huyo nyepesi amesema kitu. Amegalagazwa na std 7 failure, inasikitisha kwa kweli.Zitto alikataa kuzuia uchaguzi matokeo yake kaishia kudhalilika tu.
Huyu jamaa vituko vyake visivyo vya maana kabisa! Sijuwi atazingumza nini huko Bungeni. Bila shaka anamtambia Bw Zitto Kabwe!
Nasubiri kuona !
===============
Mbunge mteule wa wananchi wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando, ameibua mjadala mitandaoni baada ya kuandika ujumbe mfupi kwenye ukurasa wake wa Instagram akisema “Tunatesti mitambo” akiwa ndani ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo.
View attachment 3499913Kigoma poleni sana kwa janga hili huyu atajua hata jinsi ya kutetea haki za wakigoma