Baba Levo: Akiwa bungeni ameanza na ujinga wake! Ajirekodi video na kusema Tunatesti mitambo

Angalia vitu vya maana bwana sasa yeye kujipost kwake kunakupunguzia nini bwana mbona waTanzania mnadwal na upumbavupumbavu wa watu usiosaidia jamii ,mbona kuna viongozi ni waxheza sarakasi,waigizaji,waganga wa kienyeji,nk?

Jikiteni kwenye hoja za kujenga taifa achaneni na maisha ya watu huo ni ujinga bwege wewe
 
Ushamba mzigo. Aangakie yasije kumgharimu. Hainekani kabisa kuguswa na kilichotokea Bali anawaza posho tu
Kipi unataka aguswe nacho zaidi ya maisha yake,hao waliojitakia kufa kwa wizi na uharibifu wa mali za watu?hata kama kuna waliouwawa kwa bahati mbaya bado wahuni na waporaji walipaswa kuwajibishwa
 
Zitto hata angeshindana na kimba Wanakigoma Mjini tungechagua kimba!

Good riddance!
Hakuna aliechagua matokeo yalikua yameshapikwa kilichofuata ni kuwekwa mezani hata kungekua na watu wasiopiga wote ila wangetangaza wote mmepiga kura na kujipa ushindi kwa kutumia matokeo hewa
 
Wahuni zaidi ya wanaoteka watu?
 
Hakuna aliechagua matokeo yalikua yameshapikwa kilichofuata ni kuwekwa mezani hata kungekua na watu wasiopiga wote ila wangetangaza wote mmepiga kura na kujipa ushindi kwa kutumia matokeo hewa
Zitto hata angeshindana na kimba Wanakigoma Mjini tungechagua kimba!

Good riddance!
 
Sometimes akili hawana, wanaambiwa kitu cha msingi wao wanijiona wenye akili kumbe zero kabisaa wanaanza kulalamika
 
Kipi unataka aguswe nacho zaidi ya maisha yake,hao waliojitakia kufa kwa wizi na uharibifu wa mali za watu?hata kama kuna waliouwawa kwa bahati mbaya bado wahuni na waporaji walipaswa kuwajibishwa
Una support watekaji, wauaji na wezi wa kura, watu kama wewe ni wa kuonea huruma tuu lakini naogopa msimamo wako unaweza kukuletea matatizo makubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…