Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
Baba Levo amemfungulia kesi msanii Harmonize na kumchukulia RB polisi. Baba levo amedai kuwa usiku wa kuamkia leo February 11,2024 msanii huyo wa muziki wa bongofleva alimshambulia.
Ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram:-
"Hii Itakuwa Mara Yangu Ya Mwisho Kuwa Mnyonge Kuwa Mpole Kuonewa Mbele Za Watu Na Kutorusha Hata Ngumi Moja Mbele Ya Mtu Anayenishambulia …!!
Nadhani Pia iwe Mara Ya Mwisho Kukimbilia Kwenue Vyombo Vya Dola (POLISI)
NEXT TIME NTAJITETEA KWANZA ..!!🙏 Naamini Itakuwa ZAMU Ya ADUI Kwenda Polisi Na Yeye…!!
Sipe di Kugombana Kwa Sababu Najua Madhara Ya Ugomvi …!!
2020 Niligombana Nikafungwa Gerezani Mwaka Mmoja …!!
Lilikuwa Funzo Tosha Kwangu…!!
Nina Mke na Watoto Watano Na Ndugu Kadhaa Wanaonitegemea Mimi…..!!
Ugomvi #Unaweza Kupelekea Kuwaacha Peke Yao…!!
Lakini Kuna Siku Sintoangalia Nyuma NTAPAMBANA 🙏🙏🙏🙏"- Baba Levo
Nini maoni yako?