Baba Levo anabusu wanawake wa Kiarabu muda wote huko Qatar, akija kupewa kesi ya 'incident assault' sijui nani atamtoa jela!

Na wewe wabusu wale dada zako wa mpwayungu village! Halafu ukimaliza kuwabusu, waambie ale alee!!
Mimi sio mshamba nipo smart sana, sijaoa ila hata kuzini na mwanamke na fanya Kwa siri nzito mpaka Leo wanaonifahamu wanasema sijawahi kuwa na demu Wala kuonja mbususu. Kuwashikashika hovyo ni against human dignity nawanaofanya hv ni waafrika mapunguani kama mwijaku na baba Levo
 
Ni wivu tu.utakuta n msomi ambae hana ata passport ya kusafiria nje ya nchi. Kula maisha atakutoa alie kupeleka
 
Ataliwa kinyeo chake

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hivi huyo jamaa ana umri gani hasa?Amepata matokeo yake yaliyotoka ya STD VII?
 
mi nadhani tabia ya kumvamia mtu ovyoovyo ni ushamba,binafsi nimekutana na mbuzi leo inashoboka inataka inhug nkakata pembeni nkaendelea na safari zangu sikutaka mambo mengi make nyuma yangu kuna watu walikuwa wanakuja lakini sijapenda kwakweli isitoshe mtu mwenyewe simjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…