Walikosea sana kushiriki uchaguzi,CCM sio chama cha kufanya biashara ya siasa,hawaaminiki,ni wajanja wajanja,hawana nia ya dhati ya kubadili mfumo wa siasa kuwa level moja; watakushawishi in favor kwao baada ya kufanya makubaliano wana kuacha. Kipindi kijacho wanaweza kufanya maridhiano ya ulaghai 2028 ili wawazuge lakini target yao ni 2030. Ref ipo kile chama cha ubwabwa,walikitumia chama hicho kutaka kuipasua CDM wakashindwa na sasa Chauma kimeshapotea. Afisa Kipenyo Salim Mwalim soon anarudi zake CCM
Mwaka 2020 aliaga wazee wakigoma akasema atagombea Urais wa 2025 cha ajabu akarudi tena kwenye ubunge huyo ndo zitto kinachomfelisha ni kukosa msimamoKuna kipindi Zitto akiwa CHADEMA alipigwa kelele za kuutaka urais. Ila cha kushangaza alipoanzisha chama chake akawa hataki urais ila ubunge pekee yake. Zitto ni mnafiki sana. Bora ashinde huyo chawa kuliko mnafiki Zitto.
Wanasiasa aina ya Zitto wanatuchelewesha katika ukombozi wa kweli.Zitto amekuwa Simba Mzee, CCM walimwambia afungue kesi atapewa Bunge ila mwisho wa siku amepigwa chini na dili la ubunge limekufa