Baba levo atabiri ajali ya ndege 2024

Baba levo atabiri ajali ya ndege 2024

Dunia aiamimiki
Asijetuleteq mambo ya katuni za simpson. Wanajifanya kutabiri kumbe ni michongo ya wenye dunia.
 
Afunguke zaidi, aina Gani ya ndege, Abiria waliokuwamo, RANGI za ndege, muda wa Ajali Kutokea, Mahali ilipoangukia ni Nchi kavu au majini nk nk nk.

Bt kumbukumbu inatunzwa.🙏
 
Back
Top Bottom