Mhaya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2023 Posts 1,831 Reaction score 5,489 Jan 7, 2024 Thread starter #41 Chizi Maarifa said: Anaishi wapi na anashughulika na nini? Click to expand... Anaishi Tanzania, ni mtangazaji radio na TV, mwanamziki na Chawa promax wa Diamond Platnumz na Mama Samia
Chizi Maarifa said: Anaishi wapi na anashughulika na nini? Click to expand... Anaishi Tanzania, ni mtangazaji radio na TV, mwanamziki na Chawa promax wa Diamond Platnumz na Mama Samia
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Jan 7, 2024 #42 Pascal Mayalla, unajua tafsiri ya kuota ndege inaanguka? CCM ni Ile Ile!!!
Chizi Maarifa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 10,931 Reaction score 24,816 Jan 7, 2024 #43 Mhaya said: Anaishi Tanzania, ni mtangazaji radio na TV, mwanamziki na Chawa promax wa Diamond Platnumz na Mama Samia Click to expand... Simfahamu. Anyway watu wenu hao.
Mhaya said: Anaishi Tanzania, ni mtangazaji radio na TV, mwanamziki na Chawa promax wa Diamond Platnumz na Mama Samia Click to expand... Simfahamu. Anyway watu wenu hao.
Roboti Wa Nape JF-Expert Member Joined Nov 20, 2023 Posts 1,174 Reaction score 2,876 Jan 7, 2024 #44 Nami natabiri kutokea ahali ya Gari mwaka 2024 Afrika Mashariki
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,418 Reaction score 5,257 Jan 7, 2024 #45 Na alivyo na pua kubwa inawezekana ananusa na ya kesho.
mandawa JF-Expert Member Joined Feb 6, 2015 Posts 772 Reaction score 1,119 Jan 7, 2024 #46 Numbisa said: Kila mtu anatabiri. Anayoota sio ajali kama ajali bali msiba mkubwa kwake utatokea na litakua pigo kubwa hivyo maombi muhimu sana kwake Click to expand... Huenda ndege au pigo la bosi wake🤔
Numbisa said: Kila mtu anatabiri. Anayoota sio ajali kama ajali bali msiba mkubwa kwake utatokea na litakua pigo kubwa hivyo maombi muhimu sana kwake Click to expand... Huenda ndege au pigo la bosi wake🤔
A ambagae JF-Expert Member Joined Mar 2, 2009 Posts 3,334 Reaction score 1,385 Jan 8, 2024 #47 Chaliifrancisco said: Kunguru Click to expand... Bata Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Chaliifrancisco said: Kunguru Click to expand... Bata Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app