GE2025 Baba Levo aulizwa swali na mwananchi, 'Kiingereza haujui utaelewaje mikataba?'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mwananchi aliyehudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi, Clayton Chipando (Baba Levo) uliofanyika Kigoma mjini, amamemuuliza swali mgombea huyo juu juu ya uelewa wake kwenye ligha ya Kingereza na atawezaje kujua usahihi wa mikataba hiyo.

Nilishazungumza sehemu Fulani kua hilo Jimbo ni zawadi ya zitto kabwe Kwa kua chawa mtiifu dhidi ya watawala zito huyu Wa Sasa sio yule Wa zamani kabisa naona Kwa Sasa kaamua kutazama ugali wa familia yake zaidi

Na ndio maana ccm wamempa mpinzani dhaifu sana Ili asipate shida akishinda waseme uchaguzi ulikua wa haki
 
Zitto kazingua,yaan na umri wake huo ni kwamba hakujipanga?? Mpaka aanze kufanya siasa za udalali
 
Zitto hatoboi kwa Baba levo
 
Kwa bodi langueji hiyo .. hehe akipewa wadhifa Tutakoma .. unachapwa makofi wazi wazi .. .. au unatupwa ndani unaambiwa ni amri ya mukubwa baba levo...

Anyway ... Nitaambiwa Nina wivu ...

Ila maswala nyeti kama kutunga Sheria ... Wabunge wa std Seven kweli ...
 
Hao washazoea maigizo

Wote wezi hao, kama mbunge ndio huyo mjue ataenda kukata viono bungeni
 
Huyu jamaa kichwani kuna kakitu kapo anazingua hapo kwenye kushobokea wanaume wenzie .
 
Mwananchi aliyehudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi, Clayton Chipando (Baba Levo) uliofanyika Kigoma mjini, amamemuuliza swali mgombea huyo juu juu ya uelewa wake kwenye ligha ya Kingereza na atawezaje kujua usahihi wa mikataba hiyo.

Nampongeza Baba Levo kwa hii audacity ya kuruhusu maswali. Huu mtindo ungekuwepo hadi kwa mgombea Urais wa CCM ingependeza sana.
 
Nilishazungumza sehemu Fulani kua hilo Jimbo ni zawadi ya zitto kabwe Kwa kua chawa mtiifu dhidi ya watawala zito huyu Wa Sasa sio yule Wa zamani kabisa naona Kwa Sasa kaamua kutazama ugali wa familia yake zaidi

Na ndio maana ccm wamempa mpinzani dhaifu sana Ili asipate shida akishinda waseme uchaguzi ulikua wa haki
Mbuzi wa Bwana Heri, shamba la Bwana Heri
 
Zitto kazingua,yaan na umri wake huo ni kwamba hakujipanga?? Mpaka aanze kufanya siasa za udalali
Ilikua ni rahisi sana kwake kuungana na chadema kudai reforms badala yake ameamua kuchumia tumbo eti watabanana kwenye sanduku la kura? Kwa mfumo huu ambao watu wanapata matokeo kabla ya kupiga kura? ?

Ana uwezo gani wa kulinda kura zisiibiwe Kwa mifumo ya kifisadi namna hii?? Na ndio maana ni rahisi kusema chama chake ni tawi la kudhoofisha wapinzani
 
Nilishazungumza sehemu Fulani kua hilo Jimbo ni zawadi ya zitto kabwe Kwa kua chawa mtiifu dhidi ya watawala zito huyu Wa Sasa sio yule Wa zamani kabisa naona Kwa Sasa kaamua kutazama ugali wa familia yake zaidi

Na ndio maana ccm wamempa mpinzani dhaifu sana Ili asipate shida akishinda waseme uchaguzi ulikua wa haki
Mkuu nadhani hata Baba Levo atamtoa kamasi Zitto
 
Back
Top Bottom