Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Zitto hawezi kushinda watu wa kigoma wamemchoka na siasa zake za maslahi na udini ndiyo maana hawezi kunyenyua mdomo kwa kumsema baba levo maana anamjuwa vizuri nje ndaniNilishazungumza sehemu Fulani kua hilo Jimbo ni zawadi ya zitto kabwe Kwa kua chawa mtiifu dhidi ya watawala zito huyu Wa Sasa sio yule Wa zamani kabisa naona Kwa Sasa kaamua kutazama ugali wa familia yake zaidi
Na ndio maana ccm wamempa mpinzani dhaifu sana Ili asipate shida akishinda waseme uchaguzi ulikua wa haki