The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Kasafiri nchi nyingi na ndio kujua kiingereza chenyewe 🙂 swali lingekuwa, mikataba ni mambo ya sheria na wewe sio Tundu Lissu wa sheria, sasa hapo utatoboaje ikija hiyo mikataba ?Yeye akajibu nini?
Sifa kuu anajua kusoma na kuandikaYeye akajibu nini?
Ndio maana kila mwaka tutarudi hatua mbili nyumaSifa kuu anajua kusoma na kuandika
Zitto kazingua,yaan na umri wake huo ni kwamba hakujipanga?? Mpaka aanze kufanya siasa za udalaliNilishazungumza sehemu Fulani kua hilo Jimbo ni zawadi ya zitto kabwe Kwa kua chawa mtiifu dhidi ya watawala zito huyu Wa Sasa sio yule Wa zamani kabisa naona Kwa Sasa kaamua kutazama ugali wa familia yake zaidi
Na ndio maana ccm wamempa mpinzani dhaifu sana Ili asipate shida akishinda waseme uchaguzi ulikua wa haki
Zitto hatoboi kwa Baba levoNilishazungumza sehemu Fulani kua hilo Jimbo ni zawadi ya zitto kabwe Kwa kua chawa mtiifu dhidi ya watawala zito huyu Wa Sasa sio yule Wa zamani kabisa naona Kwa Sasa kaamua kutazama ugali wa familia yake zaidi
Na ndio maana ccm wamempa mpinzani dhaifu sana Ili asipate shida akishinda waseme uchaguzi ulikua wa haki
Nampongeza Baba Levo kwa hii audacity ya kuruhusu maswali. Huu mtindo ungekuwepo hadi kwa mgombea Urais wa CCM ingependeza sana.Mwananchi aliyehudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi, Clayton Chipando (Baba Levo) uliofanyika Kigoma mjini, amamemuuliza swali mgombea huyo juu juu ya uelewa wake kwenye ligha ya Kingereza na atawezaje kujua usahihi wa mikataba hiyo.
Huo mchoro ulishakamilika utakuja kuniambia hapa hapaZitto hatoboi kwa Baba levo
Masikitiko yangu walioshangilia kuona kua mbunge wao kajibu kwa usahihiKasafiri nchi nyingi na ndio kujua kiingereza chenyewe 🙂 swali lingekuwa, mikataba ni mambo ya sheria na wewe sio Tundu Lissu wa sheria, sasa hapo utatoboaje ikija hiyo mikataba ?
Mbuzi wa Bwana Heri, shamba la Bwana HeriNilishazungumza sehemu Fulani kua hilo Jimbo ni zawadi ya zitto kabwe Kwa kua chawa mtiifu dhidi ya watawala zito huyu Wa Sasa sio yule Wa zamani kabisa naona Kwa Sasa kaamua kutazama ugali wa familia yake zaidi
Na ndio maana ccm wamempa mpinzani dhaifu sana Ili asipate shida akishinda waseme uchaguzi ulikua wa haki
Ilikua ni rahisi sana kwake kuungana na chadema kudai reforms badala yake ameamua kuchumia tumbo eti watabanana kwenye sanduku la kura? Kwa mfumo huu ambao watu wanapata matokeo kabla ya kupiga kura? ?Zitto kazingua,yaan na umri wake huo ni kwamba hakujipanga?? Mpaka aanze kufanya siasa za udalali
Mkuu nadhani hata Baba Levo atamtoa kamasi ZittoNilishazungumza sehemu Fulani kua hilo Jimbo ni zawadi ya zitto kabwe Kwa kua chawa mtiifu dhidi ya watawala zito huyu Wa Sasa sio yule Wa zamani kabisa naona Kwa Sasa kaamua kutazama ugali wa familia yake zaidi
Na ndio maana ccm wamempa mpinzani dhaifu sana Ili asipate shida akishinda waseme uchaguzi ulikua wa haki