Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Zitto hawezi kushinda watu wa kigoma wamemchoka na siasa zake za maslahi na udini ndiyo maana hawezi kunyenyua mdomo kwa kumsema baba levo maana anamjuwa vizuri nje ndaniNilishazungumza sehemu Fulani kua hilo Jimbo ni zawadi ya zitto kabwe Kwa kua chawa mtiifu dhidi ya watawala zito huyu Wa Sasa sio yule Wa zamani kabisa naona Kwa Sasa kaamua kutazama ugali wa familia yake zaidi
Na ndio maana ccm wamempa mpinzani dhaifu sana Ili asipate shida akishinda waseme uchaguzi ulikua wa haki
“Unajuaje kama sijui?”Yeye akajibu nini?
Ina maana Mpaka muda huu unaamini wananchi ndio wanaamua HATMA ya mgombea??Zitto hawezi kushinda watu wa kigoma wamemchoka na siasa zake za maslahi na udini ndiyo maana hawezi kunyenyua mdomo kwa kumsema baba levo maana anamjuwa vizuri nje ndani
Kasafiri nchi nyingi na ndio kujua kiingereza chenyewe 🙂 swali lingekuwa, mikataba ni mambo ya sheria na wewe sio Tundu Lissu wa sheria, sasa hapo utatoboaje ikija hiyo mikataba ?
Ilikua ni rahisi sana kwake kuungana na chadema kudai reforms badala yake ameamua kuchumia tumbo eti watabanana kwenye sanduku la kura? Kwa mfumo huu ambao watu wanapata matokeo kabla ya kupiga kura? ?
Ana uwezo gani wa kulinda kura zisiibiwe Kwa mifumo ya kifisadi namna hii?? Na ndio maana ni rahisi kusema chama chake ni tawi la kudhoofisha wapinzani
Point sio yeye kuungana na chadema Bali huu ni muda Wa kumtambua Kila mwanaharakati Wa ukwelinyie jamaa munafurahisha sana, kwahiyo ikiwa hujaungana na chadema unakuwa mchumia Tumbo?
Point sio yeye kuungana na chadema Bali huu ni muda Wa kumtambua Kila mwanaharakati Wa ukweli
Chadema ndio chama Cha upinzani Cha ukweli katika hii nchi Kwa hiyo kama Nia Yako ni ya dhati unahitaji ukombozi huwezi kua na mawazo tofauti na chadema na ndio maana wakina pole pole , Gwajima nk hawapo chadema lakini mtazamo unafanana
Nafkiri umesoma maoni yangu bila utulivu nilichosema Mimi ni kwamba linapokuja swala la kudai haki hua linaunganisha Kila mpenda haki bila kujali chama, dini Wala kabila...nilini polepole amekuwa chadema? anakutumieni nyumbu katika kufanikisha yake tu
Nafkiri umesoma maoni yangu bila utulivu nilichosema Mimi ni kwamba linapokuja swala la kudai haki hua linaunganisha Kila mpenda haki bila kujali chama, dini Wala kabila...
Nikatoa mfano Kwa pole pole na Gwajima nikasema pamoja hao sio wanachama Wa chadema lakini wimbo wao na chadema unafanana na ndio unapaswa kua wimbo wa Kila anayepigania haki ukiona kuna mtu anasema anapigania haki na haimbi wimbo huu maana yake ni chawa tu kama machawa wengine
Umetisha mkuu una madini ya kufa mtu...polepole na gwajima ni wahuni tu, wafuasi wachadema wanathibitisha kutokujielewa kwao kwa kuwashabikia hao wahuni.
Maprofesa wamo bungeni,.mbona hatuoni wakiboresha chochote? Sheria kandamizi, uchumi kudodorora, na demokrasia inaminywa machoni pao.Kwa bodi langueji hiyo .. hehe akipewa wadhifa Tutakoma .. unachapwa makofi wazi wazi .. .. au unatupwa ndani unaambiwa ni amri ya mukubwa baba levo...
Anyway ... Nitaambiwa Nina wivu ...
Ila maswala nyeti kama kutunga Sheria ... Wabunge wa std Seven kweli ...
Ukisema wewe na nani kiongozi?Maprofesa wamo bungeni,.mbona hatuoni wakiboresha chochote? Sheria kandamizi, uchumi kudodorora, na demokrasia inaminywa machoni pao.
La saba wako wengi sana Bungeni, Kishimba, Musukuma, Maganga (wa Mbowe), Babu Tale, Kibajaji, Mama Salma, n.k. Je, tukisema una wivu na Baba Levo, tutakuwa tunakosea?