BABA LEVO: Diamond kaniibia chorus ya my No.1

BABA LEVO: Diamond kaniibia chorus ya my No.1

huwezi pata kitu kikubwa kwa kuwekezza kidogo wewe,bila kutumia hiyo gharama yote ingepetikana video kari kama hiyo?na aliekuambia hiyo million 50 yote kalipwa mtengeneza video ni nani?iko hivi...kakodi jeti,boat,hotel,mini helcopter kwa ajili ya kushoot scene za juu,kalipa watu maarum wa makups,kalipa wale mamodo,kakodi fellari,kalipa kampuni mbili zilizoshilikian akatika kushoot,moja ogopa na nyingine ya huko south,kawanunulia mavazi wale mamodo pamoja na yeye n.k afu mnaosema hii video mbaya mko wachache kweli 3/100..watanzania cjui mkoje..watu wakijaribu kuthubutu ili wapie hatua wafike levo za kimataifa mnaanza kuponda

Wewe Ni Jimmy Jones?

=====================================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================================
 
Back
Top Bottom