Aliwahi kumpiga yraffic police Kigoma....akahukumiwa miezi 6....akiwa diwani huko Kigoma....Kwahiyo anajua kuchonga mdomo tuu kupigana hawezi![emoji3]
Yaani eti huyo na ni mume wa mtu na ni baba kha [emoji1785][emoji1785][emoji2961].Mpuuzi tu huyo baba levo,yaani Mungu usinipe toto la kiume kama yule aseehh
Wake zao kazi wanayo jamani!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mambo sio rahisi kama unavyofikiria mkuu,Hizi kauli kama utani, lakini ikitokea huyo Chawa kafa kweli, harmonize anaweza kujikuta kwenye wakati mgumu kimasihara tuu
Hii pia unamtengenezea mtu chuki wabaya wake wanaweza kutumia hiyo nafasi...
Yaani eti huyo na ni mume wa mtu na ni baba kha [emoji1785][emoji1785][emoji2961].
Hajafa tu? Maana muda alioutoa umeisha. RIP Baba levo.Machawa wapigwe tu, maana hamna namna nyingine
[emoji23][emoji23]Hivi ilikuaje Harmonize mfupi akamdhuru Baba levo mrefu tena kwenye shingo? au alimrukia kama Chui? coz Baba Levo anadai Harmonize alimkaba kwenye shingo,
Anyway huyo Baba Levo hiyo ishu pia anaitumia ili kutrend tu.
Je ikatokea wamesema ni kipigo ndio kilichomuua..Mambo sio rahisi kama unavyofikiria mkuu,
Vipi kama akipimwa Postmortem na ikathibitishwa na Dokta kua kifo chake hakikusababishwa na hayo maumivu ya shingo?
Comment yangu ilijibu comment iliyosema kua Baba levo akifa basi direct Harmonize ndio mkosa,ndio maana nikamwambia kua hiyo inategemea na vipimo vya Dokta.Je ikatokea wamesema ni kipigo ndio kilichomuua..