Baba Levo: Kama nikifa leo au kesho basi mjue Harmonize ndio ameniua

Baba Levo: Kama nikifa leo au kesho basi mjue Harmonize ndio ameniua

Baba Levo bado anaugulia maumivu makali ya shingo baada ya kula kichapo kutoka kwa Harmonize.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Babalevo amesema,

"Shingo linaniuma, kama nikifa leo au kesho kwa tatizo hili basi mjue Harmo ndio ameniua" - Baba Levo

View attachment 2901952

Ikumbukwe kuwa Baba levo ameshachukua RB na kumshitaki Harmonize kwenye vyombo vya dola kwa tukio la kushambuliwa.

- Baba Levo amfungulia kesi Harmonize

Written by Mjanja M1 [emoji3578]

Kama ni kweli chanzo cha ugomvi ni kugombania mgao wa hela harmo amejitia aibu sana…. wanavimba utadhani wana hela kumbe wenzetu tu.
 
Muulize aseme kabisa kama tumsafirishe au tuzike mjini tu...
 
Hapo noma anachofanya babalevo kumtengenezea mazingira magumu harmonize ili apige pesa ndefu mahakamani kitendo chake chakupigwa kachukua kama kete ya kumuingizia income mjini shule
Mkuu Kwani kuna nini kati ya baba levo na harmonize?
 
Back
Top Bottom