McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Kuhusu maandamano ya MO29 huyu wa kuitwa Baba Lebo kampongeza Samia
"Kuna watu walileta machafuko lkwenye nchi yetu, walileta vurugu kwenye nchi yetu na akachungulia, kuna baadhi ya vijana walifata mkumbo kwenye maandamano. Maandamano yalikuwa na vurugu ndani yake. Mama ameamua kuachia vijana warudi mtaani