PostGE2025 Baba Levo: Kuna watu walileta vurugu kwenye nchi yetu. Mama ameamua kuachia vijana warudi mtaani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Kuhusu maandamano ya MO29 huyu wa kuitwa Baba Lebo kampongeza Samia

"Kuna watu walileta machafuko lkwenye nchi yetu, walileta vurugu kwenye nchi yetu na akachungulia, kuna baadhi ya vijana walifata mkumbo kwenye maandamano. Maandamano yalikuwa na vurugu ndani yake. Mama ameamua kuachia vijana warudi mtaani

Your browser is not able to display this video.
 
Father kila jambo na wakati wake
 
Wewe matako, chawa, mshenzi ambaye hata hujui maana ya mihimili unaongea uharo. Mpumbavu sana wewe chawa. Hakuna wa kukusikiliza fala wewe.
 
I don’t think I can tolerate kulisikiliza taahira kama hili, likijaribu kufanunua au kuongelea mambo ya msingi.

CCM ya Samia ina dharau sana.

Hata hiyo video sijafungua
Hata mimi sijafungua, maana naona huu ni upumbavu mtupu.
 
Hata mimi sijafungua, maana naona huu ni upumbavu mtupu.
I can’t blame you, me too I can’t bear listening to the nonsense na dharau za CCM kwenye mustakabali wa taifa.

Hakuna dharau kama hii ya babalevo kuitwa muheshimiwa, mtu ambae sera yake ilikuwa kumpeleka Diamond kuwekeza kwenye soko huko Kigoma.

WTF
 
Ukiwa chawa sharti ujue msimamo wa Boss wako kwanza ndiyo uongee!

Wale walioongea kabla ya Boss wamepoteana naye.

Kasheshe ni pale Boss hana msimamo,leo ni wageni kesho ni wanangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…