Baba Levo: Ningekuwa Mwanamke ningemzalia Diamond watoto watatu

Aisee
Umeniwahi, nilikuwa natakakusema hivihivi,
Huko nyumbani bado hawajapevuka, wataona ni utani tu huu, kumbe ni psychological manipulation inaanza polepole mpaka watazoea kuanza kuona kawaida
Tulioko nje tunaona mengi sana
Masikini ndugu zangu watabeza na kumuona kichaa lakini kumbe ndio hawa wanatumwa kuutangaza ushoga
Utakuta hata Diamond anaujua huu uchafu
Wanawatumia sana celebrities kuleta ushenzi huu na baadae wanadai haki zao
Mwisho wataanza kuomba na vyoo vyao kama hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…