Baba Levo: Ningekuwa Mwanamke ningemzalia Diamond watoto watatu

Baba Levo: Ningekuwa Mwanamke ningemzalia Diamond watoto watatu

Biashara matangazo, huyo jamaa anadinywa ndio mana anajaribu kujiexpress, watinduaji wasipate shida kazi iwe rahisi kumshika na kumuinamisha
 
Biashara matangazo, huyo jamaa anadinywa ndio mana anajaribu kujiexpress, watinduaji wasipate shida kazi iwe rahisi kumshika na kumuinamisha
Tanga Kunani Pale Mbona Kila Kitu Pale Kimekufa?
Tunao Wakina Kaka Wanaoshikishwa Ukuta

Song La Wagosi Wa Kaya
 
[emoji3]
FB_IMG_1612526900007.jpg
 
Jf salaam.

Huenda ukadhani ni utani lkn huyu jamaa anamanisha. Huwezi mwanamme kamili utamani uwe mwanamke haiwezekan otherwise Kuna shida mahala!!

Tena jamaa kasema kabisa anampenda sana kimapenzi.

Na Hawa ndo watangazaji wa radio je jamii inayosikiliza haya inalipokeaje?

Siku zote mwanaume ukipenda mseleleko lazima tu litakukuta la kukukuta!

Hata humu Kuna chawa wengi kazi Yao ni kusifia tu ukitathimini unaona kabisa Kuna shida mahala!

Imagine mtu kama baba Levo ana familia na watoto wakubwa tu Kwa Sasa na amewahi kuwa kiogozi wa serikali (Diawani)
Leo unajifananisha na mwanamke!!
Tunakoelekea ni kubaya zaidi kuliko hapa tulipo.
Screenshot_20240301-180302_1.jpg
 
Mnaanza kuwekewa mashoga na wapiga debe la use@g
Wanaanza hivi hivi kuaminisha watoto kuwa ni jambo la kawaida
Msipowadhibiti hawa mtajuta baadae
Aisee
Umeniwahi, nilikuwa natakakusema hivihivi,
Huko nyumbani bado hawajapevuka, wataona ni utani tu huu, kumbe ni psychological manipulation inaanza polepole mpaka watazoea kuanza kuona kawaida
 
Back
Top Bottom