Baba Levo: Ningekuwa Mwanamke ningemzalia Diamond watoto watatu

Baba Levo: Ningekuwa Mwanamke ningemzalia Diamond watoto watatu

Njaa mbaya sana wakuu!

Nadanganya ndugu zangu?
Hii swagg umeikosea....
mwenye nayo huwaga anasema" au nasema uongo ndugu zangu"hahaha anyway huyu jamaa Baba levo alipokuwa diwani nilisemaga hakika Tz kuna vijana wa mfano wa kuigwa...
anapambana wananchi wapate maji,dawa nk
lkn anavyofanya sasa inasikitisha
 
Njaa ikishaitawala tumbo then upande kichwani,hiyo inakuwa hatua mbaya zaidi maana hapo hata jamaa akitaka jicho anapewa bila hata ubishi ila pia jamaa anatafuta kiki za kuiteka sosho midia ili azungumzike kwani upande wa sanaa keshafeli
 
Maisha yanaenda kasi sana yani kutoka udiwani hadi kuwa Sh***. Chawa kunguni pro max kasema angelikuwa demu angemzalia domo watoto wa 3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha niendeley tu Na kazi zangu za kuuza mifuko sokoni
Kwahiyo domo akiomba tigo atampa
 
DadaLevo anavuka mipaka sasa!! Hata kama zecomedy hii siyo inaleta aibu kwa familia.
 
Sio kweli; wengi ya waha ndio tabia yao , hukuona jinsi Serukamba alivyokuwa anachachawa kwa Lowassa alipokuwa waziri mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol
 
Huyo Sasa Kama Hamjui Ndiyo Muha Original Kutoka Kigoma. Maneno Ameyatupa Baba Levo
Amefika Mbali Sana Bila Shaka Kigoma Mwisho Wa Reli.
😞😟😔🙁😣😫😯😒☹😑😐🤨😗😁
 
Back
Top Bottom