Baba Levo: Ningekuwa Mwanamke ningemzalia Diamond watoto watatu

Baba Levo: Ningekuwa Mwanamke ningemzalia Diamond watoto watatu

We ukiona wanasiasa wanamsujudu jiwe,asiwatumbue unafikiri nini,kitaa pagumu,
Huyu baba levo,mziki ulikuwa umeishamkataa kabisa,sasa Mtoto wa Tandale kampa ajira,anagonga nae corabo,mapenzi,ndinga za kumwaga,lazima apagawe!
Sasa Kama mtoto wa kiume yupo hivyo,watoto wa kike itakuwaje.
 
Back
Top Bottom