baba,mama,dada,kaka mkazi wa dar unaehitaj msaidz wa kaz wa kiume,usipte pasipo kunisoma

baba,mama,dada,kaka mkazi wa dar unaehitaj msaidz wa kaz wa kiume,usipte pasipo kunisoma

Joined
Mar 21, 2013
Posts
23
Reaction score
3
u hali gan mtanzania
mwenzangu..napenda
kutanguliza shukran kwa wewe
kufungua thread hii ambayo
lengo lake ni kukwambia
kilichonisibu na wewe kunipa
ushauri au msaada husika na
cyo vinginevyo.me ni kijana wa
kiume 23yrs..nina elim ya
chuo,nilikuja dar kufatilia nafas
ya kaz katika kampuni moja
hapa dar,ni baada ya wao
kuniita lakin ajabu nimefika
wananiambia nafas waliyoniitia
ishapata wa kuifanya,cwez eleza
nilivyoumia na mbya zaid
nilikuja na pesa kidogo 2,baada
ya mda mfup
zitaniishia.nimejaribu ku2ma
maomb sehem tofau na hakuna
majibu
niliyoyapata.NIMEDHAMIRIA
KUFANYA KAZ YOYOTE NA
POPOTE
PATAKAPOPATIKANA.NAKUOMBA
DADA ,KAKA,BABA,MAMA UISHIYE
DAR.KAMA UNA KAZ YOYOTE
WAWEZANIPATIA,NIKO
TAYAR,HATA KAZ YA NYUMBANI
NTAIMUDU COZ NI MCHAPA
KAZ,MWAMINIFU NA MPISH MZURI
SANA.NI PM .ahsanten
 
Kila la kheri Mkaka! Ukiwe kuna kituo chetu cha tusio na ajira hua tunakutana rusuli street, kama upo tayali tupige harakati ni PM
 
Kila la kheri Mkaka! Ukiwe kuna kituo chetu cha tusio na ajira hua tunakutana rusuli street, kama upo tayali tupige harakati ni PM

umenichunia????
ujue si vizuri
 
manoah mwenzio anatafuta ajira we unamkaribisha chama cha wasio na ajira
 
Last edited by a moderator:
ajiunge na chama chetu, ili tufanye harakati ndani ya chama chetu mimi nikiwa kama mwenyekiti watu 36 wamepata job najivunia kwa hili, jana nili kumaindije?
manoah mwenzio anatafuta ajira we unamkaribisha chama cha wasio na ajira
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom