Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
hawa walokole wa huku wanajiona wanamjua sana Mungu mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13]
ahahah.your intelligent lakin ni mmbeya pia ahahahaYeah...huna habari mkuu?
Alivyoinunua mbona alitangaza?
Tuliramba ndimu wiki nzima!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ahahah.your intelligent lakin ni mmbeya pia ahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????
Naona unapambana kunisajili team devil please songambele mie siendelei..! Kabarikiwe ulaya basi[emoji15] [emoji15] [emoji15] usikute unaenda kwa kutoa chiu kwa boss wako anayejua simba yako.. Ikifika.hawa walokole wa huku wanajiona wanamjua sana Mungu mkuu
eti sjaolewa ni trick ya shetani ,kwani lazima niolewe mwaka huu,kama sijaolewa mungu kanibariki kingine na kingine
ombea adui yako aishi siku nyingi ili unapobarikiwa ajionee kwa machoNaona unapambana kunisajili team devil please songambele mie siendelei..! Kabarikiwe ulaya basi[emoji15] [emoji15] [emoji15] usikute unaenda kwa kutoa chiu kwa boss wako anayejua simba yako.. Ikifika.
tuanzishe kanisa niffah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!
I love JF!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] MI walokole nawahesabiaga wana mapungufuhawa walokole wa huku wanajiona wanamjua sana Mungu mkuu
eti sjaolewa ni trick ya shetani ,kwani lazima niolewe mwaka huu,kama sijaolewa mungu kanibariki kingine na kingine
Kwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????
Mavazi yanaonyesha uhalisia wa mtu. Kuna mavazi ambayo KAMWE mtu wa Mungu hawezi kuyavaa au kumruhusu mtu anayemmiliki kuvaa. Ila sijayaongelea mavazi aliyovaa MasanjaNdo ulivyokaririshwa huko uliko ee. Suala la mavazi ni zaidi ya ulivyo andika hapo juu. Jifunze zaidi ili uweze kutoa ushauri uliokaa vizuri
Naona unapambana kunisajili team devil please songambele mie siendelei..! Kabarikiwe ulaya basi[emoji15] [emoji15] [emoji15] usikute unaenda kwa kutoa chiu kwa boss wako anayejua simba yako.. Ikifika.
You guysombea adui yako aishi siku nyingi ili unapobarikiwa ajionee kwa macho
Mkuu umenena.. Binafsi sikutegemea kuona vitu kama hivyoKwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????
eti dada alikuwa bikra huyu?
Don't judge by looks....THE LORD GOD ALMIGHTY knows the hearts of everyone