Mkuu, nakubaliana na perspective yako..japo kwenye Ukweli tuseme tu. Kuhusu hako ka kaptula ka huyo mwanamke hakafai kwa mtu anayemuogopa Mungu. Hayo ni mavazi ya kikahaba period. mwanamke Hayuko decency.
We all know, Ujana nao tabu sana. Hayo ni maigizo ya ujanani. Wakikua wataacha.
Wala sikubishii. Tunahama kwenye andiko la mavazi yampasayo mwanaume, tunakwenda kwenye "kujisitiri". Tunaweza kujadili mavazi ya kujisitiri kwa mwanamke ni yapi?