Baba mchungaji na Mama mchungaji

Baba mchungaji na Mama mchungaji

Mkuu, nakubaliana na perspective yako..japo kwenye Ukweli tuseme tu. Kuhusu hako ka kaptula ka huyo mwanamke hakafai kwa mtu anayemuogopa Mungu. Hayo ni mavazi ya kikahaba period. mwanamke Hayuko decency.

We all know, Ujana nao tabu sana. Hayo ni maigizo ya ujanani. Wakikua wataacha.

Wala sikubishii. Tunahama kwenye andiko la mavazi yampasayo mwanaume, tunakwenda kwenye "kujisitiri". Tunaweza kujadili mavazi ya kujisitiri kwa mwanamke ni yapi?
 
uploadfromtaptalk1471382472049.jpg
uploadfromtaptalk1471382487348.jpg
 
Mimi ni miongoni mwa haters
naona sio kivile yan, mipini yote ya mwanza ile alafu unaoa kimbaumbau kama hcho aisee
Any way ngoja tu nile kobisi nisije nikachafua hali ya hewa nikagongwa ban ya maisha na huku ndo mambo yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji48][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji36]
Masanja jina tuuuuu ila sio MTU Wa mwanza
 
Walokole washamba sana,na beach pia mnataka watu waende na magauni?,angekuwa amevaa kinguo cha kubana na anamshepu hapo mngekuwa na haki ya kuongea.Tatizo la bongo hatujui kuwa kila vazi lina wakati na eneo linapopaswa kuvaliwa.ndo maana wadada nguo za kutokea out usiku wanavaa kwenda kufanyia shopping kariakoo.
 
Acha kijana afaidi na mkewe.kuliko wale wanaoruka ruka
 
Hapo alipo Mage Kimambi roho linamuumaaa anamtafuta kwenye radar yake huyu mke wa mchungaji hadi aingie kwenye 18 zake
 
Mkuu, nakubaliana na perspective yako..japo kwenye Ukweli tuseme tu. Kuhusu hako ka kaptula ka huyo mwanamke hakafai kwa mtu anayemuogopa Mungu. Hayo ni mavazi ya kikahaba period. mwanamke Hayuko decency.

We all know, Ujana nao tabu sana. Hayo ni maigizo ya ujanani. Wakikua wataacha.
Ndio muda wao mkuu ww unataka mpk wafike uzeeni?acha vijana wafurahie ndoa
 
Mimi ni miongoni mwa haters
naona sio kivile yan, mipini yote ya mwanza ile alafu unaoa kimbaumbau kama hcho aisee
Any way ngoja tu nile kobisi nisije nikachafua hali ya hewa nikagongwa ban ya maisha na huku ndo mambo yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji48][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji36]
Acha unyanyapaa kila kiumbe Ana apendacho ye anaona kinyaa Na manyamanyama
 
Masanja jina tuuuuu ila sio MTU Wa mwanza
Nafaham kuwa sio jitu la mwanza mdau lakini kiuhalisia watoto wakike wa mwanza ni wazuri mnoo aisee uwezi katika wote wale na status akachagua msulukuti huo aisee mwanza kwa watoto wakareee kunaongoza ukibisha nawamwaga hapa kama 100 hv alafu umfananishe na huo mfumbati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila kumbuka me ni miongoni mwa haters [emoji23][emoji23][emoji23][emoji48][emoji48]msinimaindi sana aisee
 
Kwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????
Mbona wako fresh tu ulitaka wavae masuti? Atleast hamna kiungo cha siri kilicho wazi
 
Back
Top Bottom