Baba mchungaji na Mama mchungaji

Baba mchungaji na Mama mchungaji

Kwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!
I love JF!
 
hawa walokole wa huku wanajiona wanamjua sana Mungu mkuu
eti sjaolewa ni trick ya shetani ,kwani lazima niolewe mwaka huu,kama sijaolewa mungu kanibariki kingine na kingine
Naona unapambana kunisajili team devil please songambele mie siendelei..! Kabarikiwe ulaya basi[emoji15] [emoji15] [emoji15] usikute unaenda kwa kutoa chiu kwa boss wako anayejua simba yako.. Ikifika.
 
ombea adui yako aishi siku nyingi ili unapobarikiwa ajionee kwa macho
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] MI walokole nawahesabiaga wana mapungufu
 
Mimi ni miongoni mwa haters
naona sio kivile yan, mipini yote ya mwanza ile alafu unaoa kimbaumbau kama hcho aisee
Any way ngoja tu nile kobisi nisije nikachafua hali ya hewa nikagongwa ban ya maisha na huku ndo mambo yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji48][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji36]
 
Kwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????

Ndo ulivyokaririshwa huko uliko ee. Suala la mavazi ni zaidi ya ulivyo andika hapo juu. Jifunze zaidi ili uweze kutoa ushauri uliokaa vizuri
 
Mavazi yanaonyesha uhalisia wa mtu. Kuna mavazi ambayo KAMWE mtu wa Mungu hawezi kuyavaa au kumruhusu mtu anayemmiliki kuvaa. Ila sijayaongelea mavazi aliyovaa Masanja
 
Naona unapambana kunisajili team devil please songambele mie siendelei..! Kabarikiwe ulaya basi[emoji15] [emoji15] [emoji15] usikute unaenda kwa kutoa chiu kwa boss wako anayejua simba yako.. Ikifika.

ombea adui yako aishi siku nyingi ili unapobarikiwa ajionee kwa macho
You guys
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????
Mkuu umenena.. Binafsi sikutegemea kuona vitu kama hivyo
 
Don't judge by looks....THE LORD GOD ALMIGHTY knows the hearts of everyone

world without end;
Do not quote what yu do not know. We are also supporsed to judge them by their fruits. The question is; Does he look like a shepherd of the flock??
Hilo ndo swali wala sijaona judgement hapo.
 
Back
Top Bottom