Mkuu, nakubaliana na perspective yako..japo kwenye Ukweli tuseme tu. Kuhusu hako ka kaptula ka huyo mwanamke hakafai kwa mtu anayemuogopa Mungu. Hayo ni mavazi ya kikahaba period. mwanamke Hayuko decency.
We all know, Ujana nao tabu sana. Hayo ni maigizo ya ujanani. Wakikua wataacha.
Tena adimu sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hicho nacho ni kipaji mkuu.
Masanja jina tuuuuu ila sio MTU Wa mwanzaMimi ni miongoni mwa haters
naona sio kivile yan, mipini yote ya mwanza ile alafu unaoa kimbaumbau kama hcho aisee
Any way ngoja tu nile kobisi nisije nikachafua hali ya hewa nikagongwa ban ya maisha na huku ndo mambo yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji48][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji36]
Nyuma Ipi?Hivi Hawa Hawaja kwichikwichi Huko Nyuma?
Masanja kasema hajawah ku kwichikwichi nae Tangu awe nae Mpaka Ndoa mzeeNyuma Ipi?
Nyuma as in siku zilizopita?
Au nyuma as in 0713?
Nauliza tu
Yuwiiiiiiii mama & baba mchungaji wa dot.com
Watu hawajui tu,umbea hauna tofauti na ushushushu...Tena adimu sana.
Gud gudyyyyyNifah mambo vepe?
Kula bata na mama mtumishi.achana na maneno ya wanadamu.hawaishiwi maneno hawa.kula kuku.nami nipo njiani ni kuenjoy na mama toto tu saiv
Ndio muda wao mkuu ww unataka mpk wafike uzeeni?acha vijana wafurahie ndoaMkuu, nakubaliana na perspective yako..japo kwenye Ukweli tuseme tu. Kuhusu hako ka kaptula ka huyo mwanamke hakafai kwa mtu anayemuogopa Mungu. Hayo ni mavazi ya kikahaba period. mwanamke Hayuko decency.
We all know, Ujana nao tabu sana. Hayo ni maigizo ya ujanani. Wakikua wataacha.
Acha unyanyapaa kila kiumbe Ana apendacho ye anaona kinyaa Na manyamanyamaMimi ni miongoni mwa haters
naona sio kivile yan, mipini yote ya mwanza ile alafu unaoa kimbaumbau kama hcho aisee
Any way ngoja tu nile kobisi nisije nikachafua hali ya hewa nikagongwa ban ya maisha na huku ndo mambo yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji48][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji36]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo alipo Mage Kimambi roho linamuumaaa anamtafuta kwenye radar yake huyu mke wa mchungaji hadi aingie kwenye 18 zake
Nafaham kuwa sio jitu la mwanza mdau lakini kiuhalisia watoto wakike wa mwanza ni wazuri mnoo aisee uwezi katika wote wale na status akachagua msulukuti huo aisee mwanza kwa watoto wakareee kunaongoza ukibisha nawamwaga hapa kama 100 hv alafu umfananishe na huo mfumbati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Masanja jina tuuuuu ila sio MTU Wa mwanza
Mbona wako fresh tu ulitaka wavae masuti? Atleast hamna kiungo cha siri kilicho waziKwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????
Na namba ni ile ya jina kabisa MasanjaYeah...huna habari mkuu?
Alivyoinunua mbona alitangaza?
Tuliramba ndimu wiki nzima!