Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,347
Team models oyeeeeeeeeeeeeeeeee......Mkuu unachembe'chembe za uwestern!! maana bongo mko wachache wanaume wengi yao chura. Makofi kwa models [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Makofi kwa models tafadhali [emoji122][emoji122][emoji122]
kwenye kaptula hapo na kataa kweli nikikaptula cha kiume hicho,hakitofautiana na cha mumeweWell said mkuu. Anayedhani hicho kikaptula ni cha kiume akainunue aivae mdo aje hapa aongee. mavazi ni suala la kitamaduni. Nenda nchi za wenzetu utakuta almost kila mwanamke anavaa suruali mpaka makanisani na ni kitu cha kawaida.
You shall know them by their fruits. And remember Jesus is the same yesterday, today and forever.Don't judge by looks....THE LORD GOD ALMIGHTY knows the hearts of everyone
God bless you sirThe Bible teaches us how to distinguish false from true prophets. Follow the Bible!!!
Akiangalia Roho ataona nini? Maana mwili huonesha kile kilicho rohoniMungu haangalii Mwili bali Roho
How does a shepherd look like?? If he look like one what will the flock look like? You shall know them by their fruitsworld without end;
Do not quote what yu do not know. We are also supporsed to judge them by their fruits. The question is; Does he look like a shepherd of the flock??
Hilo ndo swali wala sijaona judgement hapo.
May the Lord have mercy on us Christians if this is so called Christians of today
Kama kanuni zipi ambazo kanisa katoliki zimelegeza?makanisa ya kiroho na changa moto zake,sasa hivi naona hata katoliki wanavutwa kwa kasi na makanisa ya kiroho wameamua kulegeza baadhi ya kanuni pia..!!!
Kama masanja amevaa sawa kwanini unaona kosa kwa huyo dada kuvaa hivyo?Mavazi yanaonyesha uhalisia wa mtu. Kuna mavazi ambayo KAMWE mtu wa Mungu hawezi kuyavaa au kumruhusu mtu anayemmiliki kuvaa. Ila sijayaongelea mavazi aliyovaa Masanja
siku hizi nao wana mikutano ya hadhara wanaombea na kukemea mapepo nili shuhudi hili Bukoba mwaka jana,na huu siutaratibu wa kanisa katoliki labda kama na potokaKama kanuni zipi ambazo kanisa katoliki zimelegeza?
Kwahiyo mashati ya shule wanafunzi wanayoyavaa au masweta huwa ni dhambi wanatenda watoto wa kike?Nipe tofauti ya hizo pensi walizovaa
Hujatia neno dada yangu?mmmmhh!!yangu macho
Hao watakuwa wa karsmatiki........mie najua sana sana tunafanya novena......siku hizi nao wana mikutano ya hadhara wanaombea na kukemea mapepo nili shuhudi hili Bukoba mwaka jana,na huu siutaratibu wa kanisa katoliki labda kama na potoka
Kwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????
Wala hata sio kanisani peke yake mashuleni huko south Africa wanafunzi wanavaa nguo ambazo hapa Tanzania wanazichukulia kama za ajabu tena shule za kanisa lakini mindset zao jaziwazi namna wengine wanavyowaza.Inaonekana wewe hujawahi toka nje ta Tz. Nenda hata hapo south afrika ingia kanisa unaloliheshimu. Utakuta wanawake kibao wamevaa nguo za aina hiyo.
Suala la mavazi ni tamaduni za jamii. Sasa usilazimishe mavazi za huko kweni ziwe za kuvaliwa na kila mtu.
maana kwa Yale maombi ya kukemea kwenye ndoa yake ni inversely proportional na huto tu kaptura!Hujatia neno dada yangu?
Uwiiiiii mbavu zangu gauni la mwaka 1800 jumlisha vimoka vya kiyondo sista uje ujionee maajabu yaan ni shida usiombe ndo hapaki poda ila ni mafuta ya baby care jaman nywele kanyoa mungu wangu wee we acha tuSio ushamba mkuu. Wanakaririshwa huko kwenye mafundisho yao. halafu wanaogopa kuhoji chochote. Mambo ya ajabu kabisa. Utakuta binti anavaa gauni la mwaka 90 halafu anajiona mtakatifuuu...
WawawaaMakofi kwa models tafadhali [emoji122][emoji122][emoji122]
How does a shepherd look like?? If he look like one what will the flock look like? You shall know them by their fruits