Baba mchungaji na Mama mchungaji

Baba mchungaji na Mama mchungaji

Well said mkuu. Anayedhani hicho kikaptula ni cha kiume akainunue aivae mdo aje hapa aongee. mavazi ni suala la kitamaduni. Nenda nchi za wenzetu utakuta almost kila mwanamke anavaa suruali mpaka makanisani na ni kitu cha kawaida.
kwenye kaptula hapo na kataa kweli nikikaptula cha kiume hicho,hakitofautiana na cha mumewe
 
world without end;
Do not quote what yu do not know. We are also supporsed to judge them by their fruits. The question is; Does he look like a shepherd of the flock??
Hilo ndo swali wala sijaona judgement hapo.
How does a shepherd look like?? If he look like one what will the flock look like? You shall know them by their fruits
 
makanisa ya kiroho na changa moto zake,sasa hivi naona hata katoliki wanavutwa kwa kasi na makanisa ya kiroho wameamua kulegeza baadhi ya kanuni pia..!!!
Kama kanuni zipi ambazo kanisa katoliki zimelegeza?
 
Mavazi yanaonyesha uhalisia wa mtu. Kuna mavazi ambayo KAMWE mtu wa Mungu hawezi kuyavaa au kumruhusu mtu anayemmiliki kuvaa. Ila sijayaongelea mavazi aliyovaa Masanja
Kama masanja amevaa sawa kwanini unaona kosa kwa huyo dada kuvaa hivyo?

Hapo angevaa skirt miguu isingeonekana sababu hapo me naona miguu tu acheni ushamba kila mavazi na mahali pake unataka avae madera huko beach?
 
Kama kanuni zipi ambazo kanisa katoliki zimelegeza?
siku hizi nao wana mikutano ya hadhara wanaombea na kukemea mapepo nili shuhudi hili Bukoba mwaka jana,na huu siutaratibu wa kanisa katoliki labda kama na potoka
 
Mimi hapa masanja namuunga mkono Kabisa watu macho yao ni kutafuta tu cha kukandia waache ushamba wapo beach wanataka wavae masuti na tai?
 
siku hizi nao wana mikutano ya hadhara wanaombea na kukemea mapepo nili shuhudi hili Bukoba mwaka jana,na huu siutaratibu wa kanisa katoliki labda kama na potoka
Hao watakuwa wa karsmatiki........mie najua sana sana tunafanya novena......
 
Asante sana, UMEMALIZA.
Kwa jinsi walivyovaa Biblia Takatifu inatufundisha kuwa utaweza kuwatambua kama ni nkweli wachungaji wa Kanisa la Mungu au watumishi wa kitapeli. Hivi vitu havijifichi. Mtumishi wa Mungu haachi maswali na hata akijifanya kwamba hamfahamu Mungu atajulikana tu kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbuka Petro alipojaribu kusema hamfahamu Yesu na akaanza kuondoka ila waliokuwepo wakasema kuwa hata anavyotembea inadhihirisha yeye ni mtu wa Kristo. Je kwa muonekano wa Masanja, yeye ni mtumishi wa Mungu aliye hai????
 
Inaonekana wewe hujawahi toka nje ta Tz. Nenda hata hapo south afrika ingia kanisa unaloliheshimu. Utakuta wanawake kibao wamevaa nguo za aina hiyo.

Suala la mavazi ni tamaduni za jamii. Sasa usilazimishe mavazi za huko kweni ziwe za kuvaliwa na kila mtu.
Wala hata sio kanisani peke yake mashuleni huko south Africa wanafunzi wanavaa nguo ambazo hapa Tanzania wanazichukulia kama za ajabu tena shule za kanisa lakini mindset zao jaziwazi namna wengine wanavyowaza.
IMG_20160817_184013.jpg
IMG_20160817_183959.jpg
IMG_20160817_183915.jpg
waache ushamba na macho yanayofikiria ngono tu kila wakiona ngozi ya mwanamke waangalie mambo ya rohoni.
 
Sio ushamba mkuu. Wanakaririshwa huko kwenye mafundisho yao. halafu wanaogopa kuhoji chochote. Mambo ya ajabu kabisa. Utakuta binti anavaa gauni la mwaka 90 halafu anajiona mtakatifuuu...
Uwiiiiii mbavu zangu gauni la mwaka 1800 jumlisha vimoka vya kiyondo sista uje ujionee maajabu yaan ni shida usiombe ndo hapaki poda ila ni mafuta ya baby care jaman nywele kanyoa mungu wangu wee we acha tu
 
How does a shepherd look like?? If he look like one what will the flock look like? You shall know them by their fruits

That is what I have been telling the guy. Let us not judge them by their looks but by their fruits. Sa ka mchungaji ndo kawa hivyo, kondoo zake je?
 
Back
Top Bottom