Baba mdogo analoga hataree tumsaidieje na sasa yanamrudia

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
HABARINI wapendwa
Tuna mzee wetu aliamua kuwa msimamizi WA MIRATHI ya kaka yake

Sasa KIKAO wakamua WAGAWANE mali zote sawa...

Kilichofwata mzee akaandika yule WA Nje amepewa mali zaidi ya wenzie

Kukawa na mfarakanoo TUKAENDA kwenye mavikao

Mwisho wajukuu tukajipanga JAMAN huyu WA kumwondoa kwanza TUKAENDA MAHAKAMAN tukamwondoa ilikuwa mshike mshike

Toka HAPO
Wametengana na mkewe VYUMBA akiwambia anatia Siri za pale ndani

GAFLA yule mzee AKANZA kuingiza waganga kwenye Ile nyumba wanaroga mbaya

Yule mama akakimbia akahisi wanamloga akaitwa na MMOJA WA waganga akarudi nyumban akambiwa Wala haikuhusu wewe mama uwe na amani

Mama katonya watoto babayenu anawachomea udi uvumba kila siku

Watoto wawili wako kiroho zaidi wakapiga Sala mbaya KUFUNGA na KUOMBA..mzee akategukanenkab wakapiga oggo

Ameppona wiki iliyopita akaleta wahuni WA kuloga

Mama kapiga wamekuja Tena simamemni kwenye MAOMBIII...

Leo hii mzee kapata ajali ya gari mbaya hukomoroo gari imeisha
Yeye ULE mguu umeshtuka Tena wamemlza hospt

Ukiacha maombi yenu kwake ingawa WANASEMA mchawii afe

Sijui tumsaidiaje kiroho
Wan fellowship karibuni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…