TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Huyu baba mdogo hana jina lake halisi?! Nachelea kutoa R.I.P mpaka nijue jina lake kamiliFamilia ya Freeman Aikael Mbowe wametangaza kifo cha Baba Mdogo wa Mbowe aliyefariki baada ya kupata mshtuko baada ya kupata taarifa za mwanaye kutuhumiwa Ugaidi...