TANZIA Baba mdogo wa Freeman Mbowe afariki dunia

Ah ni ukuu wa mungu ulio muondoa mwendazake ndio ulio muondoa na huyu pia sivyo?

Pole kwa familia

Tatizo kubwa hatusomi na upeo wa kuona duni. Hakipo cha kuogofya wala cha ajabu. Sababu 4 za vifo vya mtu:



#4 ina mhusu sana shujaa wako.

Haya kutokea kwenye uzi pendwa.


Habari ndiyo hiyo.
 
Tunategemea tweet ya pole toka kwa mama
 
Ipo kwenye rejea nilizoweka hapo. Uvivu unaendelea, hamsomi.

Nendeni shule kuongeza maarifa.
Kwahiyo kigezo cha kufa kwasababu ya dhambi hakipo tena ndugu msomi?

Mana huku kamanda gaidi anasema ni ukuu wa mungu na midhambi ndio chanzo Cha kifo.

Na wewe unakuja na sababu zako eti vifo vya kijinga.
Na huyo wa mshituko vipi ni kifo cha kipumbavu au?

Ngoja nikuache nisije kukufuru bure.
 
Naam Mungu si mwanadamu anaweza kumchukua mja wake yeyote na wakati wowote autakao yeye.

Hivyo tabia ya kusema mtu fulani kafa kwasababu anadhambi sanaa eti Mungu kamuondoa kwasababu ya madhambi ikome kabisa.
Mimi na wewe aliyesema hayo ni nani? Mimi nimesema "Oneday Yes! Mungu sio Mwanadamu". Ndugu naomba upunguze Chuki, inaua. Dini zinatuasa kulia na wanaolia na kusikitika na wanaosikitika.
 
Mungu halali wala hasinzii, atajibu kwa wakati muafaka kama alivyotufanyiwa mwezi machi mwaka huu
 
Usidhihaki msiba.usimtukane mkunga na uzazi ungalipo,usirudie kosa Kwa sababu mwenzako alikosea na mbele ya mungu kila mtu anahukumiwa Kwa makosa yake.Pole familia ya mbowe. Na mbele ya mungu kila Jambo Lina kusudi lake.
 
Hii familia inaandamwa sana na vifo vya matatizo ya kupumua!! Kweli chanjo iwe ni lazima
 
Kwani Mbowe kukamatwa ameanza leo?
Au ni matokeo ya msiba wa Kaka ake Mbowe?

Mbowe kakaidi agizo la mamlaka akatengeneza mazingira ya kukamatwa, hivyo kamuua ba'mdogo wake.

Pole kwa msiba huu[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…