TANZIA Baba mdogo wa Freeman Mbowe afariki dunia

Hii damu ya Baba mdogo wa Mbowe haiwezi kupotea bure, naamini kuna kiongozi itamrudia
 
Poleni Sana wanafamilia, mungu ampumzishe pema peponi
 
James Mbowe ameripoti kwenye ukurasa wake wa twitter kuwa babu yake amefariki jana usiku baada ya kupata taarifa kuwa Freeman Mbowe anatuhumiwa kwa ugaidi.

Bado nafuatilia urasmi wa habari hizi!
 
James Mbowe ameripoti kwenye ukurasa wake wa twitter kuwa babu yake amefariki jana usiku baada ya kupata taarifa kuwa Freeman Mbowe anatuhumiwa kwa ugaidi.

Bado nafuatilia urasmi wa habari hizi!
Babu naye amekuwa mwendazake, duh. RIP.
 
Mbowe angetulia tu kwenye msiba wa kakake yote yasingemkuta haya, sema nimejifunza kitu kimoja, Cdm hawawezi siasa za maridhiano kama alizotaka kuzifanya mama mwanzoni, siasa za maridhiano haziwapi mileage
 
Siasa za maridhiano zikoje bwashee?

Chama kimoja?
 
Nyumbx walisema wanaokufa ni wale wenye roho mbaya tu, vipi baba mdogo na yeye alikuwa katili sana?
Alale anapostahili baba mdogo wa Mbowe.
Nyinyi hamfi natural death maana mnasema nyinyi mnauawa
 
Ndugu zangu, wapendwa wangu, poleni sana na kuondokewa na mpendwa wetu, Manase Alphayo Mbowe. Kwanza Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amin. Kwenu nanyi ndugu, namwomba Mungu Mwenyezi awape uvumilivu, subira na ujasiri katika kipindi kigumu hiki na hatimaye kuweza kuyatekeleza yale yanayotupasa kwa marehemu wetu kwa sifa na UTKUFU wa MUNGU.Amin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…